Pages

Friday, September 13, 2013

H Baba na Frola Mvungi wapata mtoto wa kike wampa jina la Tanzanite

Msanii H Baba na mkewe Frola Mvungi wamefanikiwa kumpata mtoto wa kike juzi jioni majira ya saa 12:30 katika hospitali ya Maria Stope iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam.

Kama unakumbuka hapo awali H Baba alisema kama akifanikiwa kupata mtoto wa kike au kiume basi atampa jina 'Tanzanite' hatimaye amefanikiwa kumpata wa kike na kumpatia jina la Tanzanite.

No comments:

Post a Comment