Pages

Sunday, September 8, 2013

MISHEMISHE JIJINI DAR

Wasafiri pamoja na magari yakiwa ndani ya boti kwa safari ya kuelekea Kigamboni
Hapa wakipanda kwenye boti

Hawa ni akina mama wakiwa wamejitwisha mizigo yao wakiingia kwenye boti
Kamera yetu imetembelea maeneo ya Kivukoni jijini Dar es Salaam hii siku ya jana na kowafotoa wakazi mbalimali wa hapa jijini Dar wakiwa kwenye shughuli za maisha ya kila siku kama picha hapo juu zinavyoonesha.
(HABARI/PICHA NA GLADNESS MALLYA, GPL)

No comments:

Post a Comment