Pages

Saturday, March 1, 2014

HEMED ACHUKIA KUITWA TOZI

MSANII wa filamu na Bongo Fleva, Hemed Suleiman ‘PHD’ amefunguka kuwa anachukizwa na tabia ya watu kumwita tozi au mtu wa maringo.
Hemed Suleiman ‘PHD’.
Hapa anafafanua: “Wananihukumu kwa macho, mimi siyo tozi ila usafi wangu na kutoonekana mara kwa mara kunanifanya nionekana hivyo lakini kiuhalisia siko hivyo.”

No comments:

Post a Comment