Pages
▼
Monday, June 30, 2014
WEMA NA KAJALA WAMEPATANA
Hatimaye! Manguli wawili wa Bongo Movies waliokuwa mahasimu wakubwa
na kusababisha tafrani kubwa, Wema Isaac Sepetu ‘Beautful Onyinye’ na
Kajala Masanja ‘K’ hatimaye wamekutana uso kwa uso (live) na kumaliza
bifu lao saa chache kabla ya kuanza kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani,
Ijumaa Wikienda limesheheni.

NI KWENYE VUNJA JUNGU
Tukio hilo la heshima lilijiri wikiendi iliyopita nyumbani kwa staa mwenzao wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson, Mwananyamala jijini Dar ambapo baadhi ya mastaa walikuwa wakivunja jungu katika sherehe ya kumpongeza rafiki yao almaarufu kwa jina la Wise Ime aliyejifungua mtoto wa kike hivi karibuni.
Tukio hilo la heshima lilijiri wikiendi iliyopita nyumbani kwa staa mwenzao wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson, Mwananyamala jijini Dar ambapo baadhi ya mastaa walikuwa wakivunja jungu katika sherehe ya kumpongeza rafiki yao almaarufu kwa jina la Wise Ime aliyejifungua mtoto wa kike hivi karibuni.
KWA MARA YA KWANZA TANGU WAGOMBANE
Katika tukio hilo, mastaa wenzao walipigwa na butwaa kuwaona wawili hao wakiwa pamoja kwa mara ya kwanza tangu wagombane. miezi kadhaa iliyopita.
Katika tukio hilo, mastaa wenzao walipigwa na butwaa kuwaona wawili hao wakiwa pamoja kwa mara ya kwanza tangu wagombane. miezi kadhaa iliyopita.
WALA UJANA KAMA ZAMANI
Mastaa hao walinaswa pamoja wakiwa kama kumbikumbi wakila ujana kama zamani, kitendo kilichowafurahisha marafiki zao wengine waliofika nyumbani hapo wakimpongeza Aunt kwa kuwaweka pamoja kwani tangu wapatanishwe hawakuwahi kukaa pamoja wala kula sahani moja kama walivyofanya siku hiyo.
Mastaa hao walinaswa pamoja wakiwa kama kumbikumbi wakila ujana kama zamani, kitendo kilichowafurahisha marafiki zao wengine waliofika nyumbani hapo wakimpongeza Aunt kwa kuwaweka pamoja kwani tangu wapatanishwe hawakuwahi kukaa pamoja wala kula sahani moja kama walivyofanya siku hiyo.
“Ukweli sisi tumefurahishwa na ukaribu wa hawa mashosti tuliwamisi
sana kuwaona hasa kwenye shughuli kama hizi za kibao kata, leo
wameshirikiana kama zamani, wamezungumza, wamecheka na kukata mauno
pamoja,” alisikika mmoja wa mastaa aliyehudhuria katika shughuli hiyo.
TUZO ZA BET 2014: BEYONCE AKOMBA 3, PHARRELL, AUGUST, LUPITA WAPATA 2 KILA MMOJA
Beyonce na mumewe Jay Z wakipiga shoo wakati wa utoaji tuzo za BET 2014.

Best Female R&B/Pop Artist
Beyoncé (WINNER)
Janelle Monáe
Jhené Aiko
K. Michelle
Rihanna
Tamar Braxton
Best Male R&B/Pop Artist
Pharrell Williams (WINNER)
August Alsina
Chris Brown
John Legend
Justin Timberlake
Best Collaboration
Beyoncé f/ JAY Z – "Drunk In Love" (WINNER)
August Alsina f/ Trinidad Jame$ – "I Luv This"
Drake f/ Majid Jordan – "Hold On (We're Going Home)"
JAY Z f/ Justin Timberlake – "Holy Grail"
Robin Thicke f/ T.I. & Pharrell Williams – "Blurred Lines"
YG f/ Jeezy & Rich Homie Quan – "My Hitta"
PUMZIKA KWA AMANI
Baba yetu mpendwa Mzee Obel Benson Mwamfupe. Leo umetimiza mika tisa tangu siku Mwenyezi Mungu alipokuita kwenye makao yake. Tunakukumbuka sana kwa busara, nasaha na upendo wako kwetu. Hatujaweza kamwe kuliziba pengo ulilotuachia, lakini hekima yako na upendo uliotupa vimekuwa ni taa ya maisha yetu.
Unakumbukwa na mke wako, dada, wadogo zako, watoto, wakwe, wajukuu, vitukuu pamoja na ndugu na marafiki zako.
Ee Mwenyezi Mungu umjalie baba yetu raha ya milele. Amina
Saturday, June 28, 2014
MBASHA, FLORA WAPATANA

HAKUNA neno zuri la kusema zaidi ya Mungu mkubwa! Ule mtafaruku ndani ya ndoa ya mwimba Injili mahiri Bongo, Flora na mumewe, Emmanuel Mbasha umedaiwa kumalizika kwa wawili hao kupatana, Risasi Jumamosi linakuwa nambari wani kukuhabarisha.
Kwa mujibu wa chanzo cha uhakika, wawili hao walikalishwa kikao cha upatanishi mapema wiki hii kilichokuwa chini ya familia.
MANENO YA CHANZO
“Kikao cha familia kilikaa, Mbasha aliitwa akafika, Flora naye aliitwa akatokea, mazungumzo yalikuwa marefu lakini kimsingi waliamua kuweka kando mtafaruku wao na kuijenga upya ndoa yao,” kilisema chanzo.
Chanzo kiliongeza kuwa katika kikao hicho cha mwanzoni mwa wiki hii, miongoni mwa adidu za rejea ilikuwa kutokumbushia vikao vilivyopita ambapo hakukupatikana muafaka.
VIKAO VILIVYOPITA
Katika vikao vilivyopita, wahusika wakuu walikuwa wazazi wa Mbasha (mzee Maneno Mbasha, Zulfa Maneno), ndugu wa Flora na Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima.
BET AWARDS NI DIAMOND TENA KESHO

Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’.
UMEKUCHA! Unaweza kusema kwa maana nyingine wakati
wasanii kutoka Afrika watakapokuwa pamoja kwenye Ukumbi wa Nokia Theatre
uliopo Los Angeles, Marekani katika sherehe za utoaji tuzo za BET 2014
kesho Juni 29.Macho na masikio yote yameelekezwa kwa mtu mmoja kutoka Tanzania ambaye ni Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’.

Wapo wanaofurahia mafanikio yake na wengine kuchukia na kuona kama anapendelewa.
Katika makala haya yanachambua safari nzima za tuzo ambazo ameshashiriki na anazoendelea kushiriki kwa sasa;
Awashangaza Watanzania
Aliivunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na mwanamuziki Abass Hamis Kinzasa ‘20%’, ya mwaka 2011 ambayo alijinyakulia tuzo tano kwa mpigo zilizotambulika kama Kilimanjaro Music Awards 2011.
Katika tuzo za Kilimanjaro za mwaka 2014 zilizofanyika Mlimani City jijini Dar, Diamond aliondoka shujaa kwa kujizolea tuzo saba kwa mpigo na kuweka rekodi ya aina yake huku maswali mengi yakibaki midomoni mwa watu na hata wengine wakidhani amebebwa na hakustahili kupewa tuzo hizo zote.

Mpaka Diamond anaelekea Afrika Kusini Juni 7 mwaka huu, alionekana kama msanii anayeongoza kwa kupigiwa kura nyingi na mashabiki akiwa na asilimia zaidi ya 60. Watanzania wengi walijua ataibuka kidedea.

WODI YA WAZAZI HOSPITALI YA MWANANYAMALA WAKABIDHIWA VIFAA
MZEE MAJUTO, LULU, MILLARD AYO WANG’ARA TUZO ZA WATU


Miss Tanzania 2004, Faraja Kota (kulia), akimkabidhi tuzo ya Msanii Bora wa Filamu Anayependwa, Mzee Majuto.

Friday, June 27, 2014
NEYMAR ATAKAVYOBEBA KIATU CHA DHAHABU
Makala
RIO DE JANEIRO, Brazil
KIULIZA washambuliaji ambao wapo ‘on fire’ kwenye michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Brazil, haraka jina la Neymar litatajwa na wengi, staa huyo wa Brazil ameshafunga mabao manne mpaka sasa katika michuano hiyo.

Wachambuzi wa soka wanaamini kijana huyo ‘sharobaro’ anao uwezo wa kutwaa tuzo hiyo na sababu kubwa tatu zinatajwa, ikiwa ni saa chache kabla ya kuliwakilisha taifa lake katika hatua ya 16 Bora ya michuano hiyo dhidi ya Chile.
Barnaba Anasema Huyu Ndio Video Queen Wa Video Ya Wimbo Wake “Wahaladee”

” Sina la kuandika zaidi ya Asante wife kukubali kuwa Video Qwen Wangu kwenye #Wahaladee Ilove uu Verry moo much….. Sema nakulipa oky, sema sio nyingi, uwii sipati Picha apo Location … Uwiii, uwiii ,mama ndani ya shela baba ndani ya bangoooooo. “


FLORA MBASHA, KUMBUKA MAANDIKO!

Tunaambiwa, akija mtu akakupiga kofi shavu lako la kushoto, wala hata usimrudishie, bali mgeuzie na upande ule wa kulia na akishakutundika hivyo vibao vyake, muombe Mwenyezi Mungu amsamehe. Tunafundishwa kusamehe, ndiyo maana katika moja ya maandiko yaliyo katika vitabu vya dini, kama Injili na Biblia, kuna mistari inayosema samehe saba mara sabini.
MZEE WA KANISA AAIBIKA!

Tumekwisha! Mzee wa kanisa la kiroho (jina linahifadhiwa kwa sasa), aliyetajwa kwa jina la Luca Pesa, mkazi wa Segerea, Dar, ameaibika baada ya kukurupushwa kwenye nyumba ya kulala wageni (gesti) akidaiwa kutaka kuvunja amri ya sita na binti ambaye ni msanii chipukizi wa filamu za Kibongo, Debora Jacob, Ijumaa lina kisanga cha aina yake.
Thursday, June 26, 2014
Picha: Shambulizi La Bomu Lilioua 21 Abuja, Nigeria
Mlipuko wa bomu uliotokea mbele ya Mall inayochukua watu wengi zaidi Abuja, Nigeria limeua watu zaidi ya 21.
Mlipuko huo umetokea jana na kuwashitua watu wengi katika eneo hilo
lililo katikati ya jiji la Abuja huku vilio vya majonzi vikitawala na
mamia ya watu waliokuwa wameenda kufanya manunuzi wakizungukwa na damu
kama sio kupoteza maisha.
Magari yaliyokuwa mbele ya Mall hiyo yaliteketea kwa moto, na
mashuhuda walieleza kuwa walikuwa wanaona vipande vya miili ya watu
vikisambaa katika eneo hilo.
Ingawa hakuna kundi lolote lililodai kuhusika na shambulizi hilo,
wengi wanaamini shambulizi hilo litakuwa limefanywa na kundi la Boko
Haram linalowashikilia watoto zaidi ya 260 kwa sasa, tangu iwashikilie
wasichana 200 mwaka huu.
HEEE! DOKTA AKUTWA AKIJARIBU KUMCHOROPOA MIMBA DENTI
Stori: Waandishi wetu
KABAANG! Dokta mmoja aliyefahamika kwa jina la
Herman amenaswa katika dispensari moja iliyopo Buguruni Kwamnyamani
jijini Dar akijiandaa kumtoa mimba mwanafunzi.
FLORA AKOMBA KILA KITU
MACHOZI upya! Habari halali kwa ubongo wako
zinaeleza kwamba wakati mumewe, Emmanuel Mbasha (32) alipokuwa mahabusu,
Dar kati ya Juni 15 hadi 17, mwaka huu, staa wa Gospo Bongo, Flora
Mbasha (31) anadaiwa kwenda nyumbani na kukomba vitu vya ndani
kuvipeleka kusikojulikana.
Ilisemekana kwamba wakati hayo yakiendelea, Mbasha alikuwa nyuma ya
nondo za Mahabusu ya Keko jijini Dar es Salaam ambako alishikiliwa.
Kwa mujibu wa mtu aliyeambatana na Mbasha alipopata dhamana dhidi ya
kesi yake inayomkabili ya ubakaji wa shemejiye mwenye umri wa miaka 17,
alipofika nyumbani kwake Tabata-Kimanga, Dar alipigwa butwaa kukuta
hakuna vitu ndani!
Habari zilidai kwamba alipowauliza majirani kama walimuona mtu
akiingia ndani walimwambia mkewe (Flora) ndiye alikuwa akiingia na
kutoka mara kwa mara.
Ilielezwa kuwa vitu hivyo vilihamishwa Juni 16 ambapo Mbasha alitoka mahabusu Juni 17, yaani siku moja tu.
Wednesday, June 25, 2014
KUWA MAKINI NA UNACHOPAKA USONI HASA KAMA USO WAKO NI WA MAFUTA!!
BATULI, MTUNISI KIMEELEWEKA
WASANII wawili wa filamu, Nice Mohamed ‘Mtunisi’ na
Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ ambao walikuwa wapenzi kabla ya kuachana na
mwanaume huyo kuoa, sasa wamerudiana rasmi.
MKASA MZIMA WA WEMA AZIMIA UPO HAPA
