RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA BARABARA MKOANI MANYARA, ARUSHA.
Barabara ya Minjingu-Babati-Singida yazinduliwa na Rais Kikwete.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier wakiweka jiwe la msingi kwa ajili ya kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Arusha Minjingu maeneo ya kijiji cha Mguu-wa-Zuberi wilayani Monduli, Mkoani Arusha.
No comments:
Post a Comment