EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA
Showing posts with label Michezo. Show all posts
Showing posts with label Michezo. Show all posts

Wednesday, October 14, 2015

MECHI ZA LIGI KUU BARA WIKIENDI HIZI HAPA MWANAWONE


Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) inatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa michezo sita kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini, ikiwa katika mzunguko wa saba timu 14 zitapambana kusaka pointi 3 muhimu.

Young Africans watawakaribisha Azam FC katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam siku ya Jumamosi, huku timu zote zikiwa na pointi 15 kileleni zikitofautiana kwa magoli ya kufunga na kufungwa.
Kabla ya mchezo wa Yanga dhidi ya Azam, kutakua na mchezo wa utangulizi wa kuombea amani kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Oktoba 25, 2015.
Mchezo huo utawakutanisha viongozi wa dini watakocheza dhidi ya mabalozi wanaofanya kazi nchini, mechi hiyo itaanza saa 8:25 mchana na kumalizika saa 9:15 alasiri.
Majimaji FC ya mkoani Ruvuma watakua wenyeji wa African Sports kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea, huku Ndanda FC wakiwakaribisha Toto African kutoka jijini Mwanza katika uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara.
Jijini Mbeya, watoza ushuru wa jijini hilo Mbeya City FC watawakaribisha Simba SC katika uwanja wa Sokoine, Chama la wana Stand United watakuwa wenyeji wa Tanzania Prisons uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga, huku Coastal Union wagosi wa kaya wakiwakaribisha wakata miwa wa Mtibwa Sugar katika uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.
Ligi hiyo itaendelea Jumapili kwa michezo miwili kuchezwa, Mgambo Shooting watakua wenyeji wa Kagera Sugar katika uwanja wa Mkwakwani, huku Mwadui FC wakicheza na maafande wa JKT Ruvu katika uwanja wa Mwadui Complex.

Wednesday, September 30, 2015

FC PORTO YAITWANGA CHELSEA 2-1



PORTO (4-1-4-1): Casillas 6; Pereira 6, Maicon 7, Marcano 6.5, Indi 6.5 ; Danilo 6; Andre 7.5 (Layun 80), Neves 7 (Evandro 78), Imbula 7.5, Brahimi 8 (Osvaldo 87); Aboubakar 7.
Subs not used: Helton, Bueno, Corona, Tello
Goals: Andre 39, Maicon 52 
Booked: Indi, Marcano, Imbula, Pereira
Manager: Julen Lopetegui 8

MASIKINI ARSENAL, YAPIGWA NA OLIMPIAKOS 2-1 IKIWA NYUMBANI, YASHIKA MKIA KUNDI F


ARSENAL (4-2-3-1): Ospina 4, Bellerin 6.5 (Campbell 86, 6), Gabriel, 6.5, Koscielny 6 (Mertesacker 57, 6), Gibbs 6, Coquelin 6 (Ramsey 60, 6), Cazorla, 6.5, Oxlade-Chamberlain 7, Ozil 6.5, Sanchez 8, Walcott 8
Subs not used: Cech, Debuchy, Monreal, Chambers
Goals: Walcott 35, Sanchez 65 
Booked: Gabriel, Ozil, Sanchez 
Manager: Wenger 5 

OLYMPIACOS (4-1-4-1): Roberto 7.5; Elabdellaoui 7.5, Botia 8, Siovas 8, Leandro Salino 7; Cambiasso 8.5; Pardo 8, Kasami 8, Fortounis 7.5 (Vouras 87), Seba 7.5 (Hernani 73); Ideye 6.5 (Finnbogason 46, 7)
Subs not used: Kapino, Dominguez, Pulido, Masuaku
Goals: Pardo 33, Ospina (OG) 40, Finnbogason 66 
Booked: Roberto, Finnbogason, Fortounis, Cambiasso
Manager: Silva 8
MOM: Cambiasso 
Player ratings by Sami Mokbel

NYOSSO AFUNGIWA KUCHEZA SOKA MIAKA MIWILI, APIGWA FAINI YA NOTI NOTI 200 ZA SH 10,000

Kikao cha Kamati ya nidhamu ya TFF kilichokutana ndani ya saa 72, kimefungia nahodha wa Mbeya City, Juma Said Nyosso kucheza soka kwa miaka miwili.

Pamoja na miaka hiyo miwili, Nyosso ametozwa faini ya Sh milioni mbili kutokana na kitendo chake cha kumshika makalio nahodha wa Azam FC, John Bocco.


Hii ni mara ya pili kwa Nyosso kushiriki katika tukio, mara ya kwanza alimtomasa Elius Maguli wakati akiichezea Simba.

Friday, August 28, 2015

LIONEL MESSI MCHEZAJI ULAYA

2BB6AC0D00000578-3213173-image-a-3_1440697335072

Mchezaji Bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya,  Lionel Messi.

MONACO, Ufaransa LIONEL Messi ametangazwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya na kumpiku Cristiano Ronaldo katika tuzo zilizotolewa jana ambazo pia dunia ilishuhudia Manchester United ikirejea kwenye michuano hiyo hatua ya makundi. Messi, staa wa Barcelona, aliingia hatua ya fainali ya tuzo hizo pamoja na straika wa timu yake, Luis Suarez pamoja na Ronaldo wa Real Madrid, ambapo waandishi wa habari wa michezo ndiyo waliompigia kura.

Upande wa Man United ambao ni mabingwa wa michuano hiyo mwaka 2008, wamepangwa katika kundi ambalo linaonekana kuwa jepesi kwao ambapo wapo Kundi B wakiwa pamoja na PSV Eindhoven ya Uholanzi, CSKA Moscow (Urusi) na Wolfsburg (Ujerumani).

2BB6988800000578-3213173-image-a-31_1440696152306

Lionel Messi (kushoto)akipokea tuzo ya mchezaji Bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kutoka kwa Michel Platini (kulia) na Cristiano Ronaldo akiwa kwa nyuma.

Vijana wa Kocha Arsene Wenger, Arsenal, wamepangwa Kundi F wakiwa pamoja na vigogo wenzao, Bayern Munich ya Ujerumani pamoja na Olympiacos (Ugiriki) na Dinamo Zagreb (Croatia). Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho atakutana na timu yake ya zamani ya FC Porto katika Kundi G, ambapo wapo pamoja na timu za Dynamo Kyiv na Maccabi Tel Aviv. Ratiba kamili na jinsi makundi yalivyopangwa soma ukurasa wa 24.

Saturday, August 8, 2015

Wachezaji wa Manchester wakiingia Old Trafford

man utd (1)man utd (2)
Mshambuliaji wa Man Utd, Wayne Rooney.
man utd (3)
Mchezaji mpya wa Man Utd Morgan Schneider. 

Usiku wa Mastaa Temeke… Kitaelekeweka tu leo

JUMAJuma nature.
Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
HAYAWI hayawi, hatimaye yametimia, lile tamasha la burudani lililosubiriwa kwa hamu kubwa la Usiku wa Mastaa Temeke hatimaye litashuhudiwa leo na mashabiki wa muziki wa Kibongo, likitarajiwa kushushwa kwenye Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhiem jijini Dar es Salaam.
MASHAUZI2.JPGIsha Mashauzi.
fm academia
FM Academia ‘Wazee waNgwasuma’
Dhamira kubwa katika tamasha hilo ni utoaji wa zawadi kwa mastaa balimbali hapa nchini ambao wamekuwa na mchango mkubwa katika kuiwakilisha vema Wilaya ya Temeke na viunga vyake.

Simba yashusha kipa Mbrazili straika wa Mali

ricardo andradeKipa, Ricardo Andrade
Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam
UKIWEKA mguu watu wanaweka kichwa, saa chache baada ya Yanga kumleta kiungo Thabani Kamusoko, Simba imewaleta kipa Ricardo Andrade na straika Makan Dembele kutoka Brazil na Mali.
Kipa Andrade alitarajiwa kuwasili leo alfariji kutoka Brazil na straika Dembele atawasili kesho Jumapili kutoka Mali.
makan-dembele-makanMakan Dembele
Andrade, 38, ambaye jina lake halisi ni Ricardo Ribeiro de Andrade, mara ya mwisho aliichezea Klabu ya Moreirense ya Ureno lakini mwenye ni Mbrazili aliyezaliwa katika Jiji la Rio de Janeiro.
Kipa huyo mwenye uzito wa Kilogramu 79, katika klabu yake alikuwa anavaa jezi namba 25 na ana nguvu nyingi za kuzuia mipira kwa kutumia mguu wa kulia pia ana urefu wa futi sita na inchi mbili.
Moja ya sifa zake ni uwezo mkubwa wa kucheza krosi na mipira ya karibu kuelekea langoni kwake.
Kwa upande wake, straika Dembele aliyezaliwa Desemba 25, 1986, anatokea Klabu ya JS Kabylie ya Algeria na sifa yake kubwa ni kufunga kwani ameifungia timu yake mabao tisa katika mechi 16.
Dembele aliyezaliwa Bamako, Mali anavaa jezi namba tisa na ana urefu wa futi sita na inchi tatu. Straika huyu amewahi kuichezea Raja De Casablanca ya Morocco kati ya mwaka 2007 hadi 2008 na kufunga mabao manane katika mechi 14.

Sunday, August 2, 2015

Azam FC bingwa Kombe la Kagame

azam fc (1)azam fc (5)
Azam wakishangilia ubingwa wao wa Kombe la Kagame.
AZAM FC wametwaa ubingwa wa Kombe la Kagame baada ya kuifunga mabao 2-0 Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa fainali uliopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo jioni.
Mabao ya Azam yamefungwa na John Bocco dakika ya 16 na Kipre Tchetche dakika ya 64.
azam fc (3)
Vikosi vilikuwa hivi:
Azam FC; Aishi Manula, Aggrey Morris, Morald Said, Pascal Wawa, Farid Mussa/Erasto Nyoni dk 46, Shomari Kapombe, Jean Mugiraneza, Himid Mao, Ame Ali/Frank Domayo dk 69, John Bocco na Kipre Tchetche/dk 88.

Arsenal yatwaa Ngao ya Jamii

1 2Arsenal wakishangilia baada ya kutwaa Ngao ya Jamii.
oxlade
Alex Oxlade-Chamberlain akishangilia kwa kuruka juu baada ya kuifungia bao Arsenal.
3
Chelsea hoi baada ya kipigo.
MABINGWA wa Kombe la FA, Arsenal wamefanikiwa kutwaa Ngao ya Jamii baada ya kuwachapa mabingwa wa Ligi Kuu ya England, Chelsea kwa bao 1-0.
3
Bao hilo pekee la Arsenal limewekwa kimiani na Alex Oxlade-Chamberlain baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Theo Walcott.
Mechi hiyo ya leo imepigwa kwenye Uwanja wa Wembley ikiwa ni maalum kwa ajli ya kufungua msimu mpya wa Ligi Kuu ya England.
2
Kwa matokeo ya leo, Arsenal wamevunja historia ya kuifunga Chelsea ikiongozwa na Mourinho huku uhasama wa makocha wa timu hizo Arsene Wenger na Jose Mourinho ukionekana kushamiri baada ya Wenger kukataa kumpa mkono Mourinho mara baada ya mechi kumalizika.

Thursday, July 16, 2015

VAN GAAL ATAJA SABABU ZA 'KUMTIMUA' VALDES MAN UNITED, NI KIBURI NA MKAIDI

KLABU ya Manchester United iko tayari kumuuza Victor Valdes baada ya Louis van Gaal kukerwa na kitendo cha kipa huyo kugoma kuchezea kikosi cha pili msimu uliopita.
Mlinda mlango huyo mwenye umri wa miaka 33 ameachwa kwenye msafara wa United uliokwenda ziara ya Marekani na anaendelea kufanya programu maalumu ya kumuweka fiti viwanja vya Carrington chini ya Mtaalamu wa maungo.
Valencia na klabu za Uturuki ni miongoni wanaomtaka kipa huyo, wakat United inamtaka mchezaji huru, Sergio Romero azibe pengo lake.
Victor Valdes anaweza kuuzwa Manchester United baada ya kumkera kocha Louis Van Gaal

Monday, July 13, 2015

Okwi amvuta Tambwe Denmark

Amissi Tambwe.
Sweetbert Lukonge,
Dar es Salaam
SIKU chache baada ya aliyekuwa mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi, kutimkia zake nchini Denmark katika Klabu ya Sonderjyske Fodbold, amemvuta nchini humo nyota wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe.
Okwi amejiunga na Sonderjyske Fodboldn hivi karibuni baada ya uongozi wa klabu hiyo kuvutiwa na kazi yake ambayo amekuwa akionyesha uwanjani akiwa na kikosi cha Simba na atakuwa akilipwa kitita cha dola 10,000 (zaidi ya Sh milioni 20) kwa mwezi.
Aliyekuwa mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi.
Kutokana na hali hiyo, Okwi atakuwa ni mchezaji wa pili kutoka katika Klabu ya Simba kulipwa fedha nyingi nje ya nchi baada ya Mbwana Samatta wa TP Mazembe ambaye pia anachukua kitita cha dola 10,000 kwa mwezi.

Yanga wamtwisha zigo Magufuli

Mgombea wa urais kupitia chama kikongwe nchini cha CCM, Dk John Pombe Magufuli.
Sweetbert Lukonge na Nicodemus Jonas
SIKU moja tu baada ya kuibuka na ushindi wa kishindo na kupata nafasi ya mgombea wa urais kupitia chama kikongwe nchini cha CCM, Dk John Pombe Magufuli, tayari ameshauriwa mambo kadhaa kama moja ya mizigo anayotakiwa kuipatia ufumbuzi akishinda kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Magufuli alipata kura 2,104 ambazo ni 87% ya kura 2,422 zilizopigwa na kuwa ni dalili nzuri kwamba hata kwenye uchaguzi mkuu Oktoba atafanya vema.
Kitendo hicho cha urais kunukia kwake, kumeifanya klabu kongwe ya soka nchini, Yanga, kuwa ya kwanza kupitia Katibu Mkuu wake, Dk Jonas Tiboroha, kumpa Magufuli, mzigo wa kuufanyia kazi.
Lakini Simba na baadaye Azam FC ambazo ndizo klabu kubwa zinazochuana sasa katika kipindi hiki, nazo zikatoa yao kwa Magufuli.
Yanga:
Akizungumza na Championi Jumatatu, Dk Tiboroha alisema furaha yake ni kusikia kupitishwa kwa mtu mpenda michezo tangu akiwa masomoni.
“Uzuri ninamfahamu vizuri, Magufuli ni mwanamichezo mwenzetu. Nilimfahamu tangu nikiwa masomoni pale chuoni (Chuo Kikuu Dar es Salaam-UDSM), kila siku alikuwa akifanya mazoezi ya kukimbia. Hivyo ni furaha kwetu kwa watu wa soka na anatakiwa kuanzia pale alipoishia Rais Kikwete,” alisema Dk Tiboroha.

Friday, June 26, 2015

Real Madrid wametoa uamuzi kuhusu kumuuza Sergio Ramos Man United

 
Saa zisizopungua 48 baada ya klabu ya Manchester United kuripotiwa kutuma ofa ya kumsajili beki wa kimataifa wa Spain, Sergio Ramos, klabu yake ya Real Madrid imepokea ofa hiyo na imetoa uamuzi.
  Manchester United, juzi walituma ofa ya £35million kwa ajili ya kupata saini ya Ramos na klabu ya Madrid wameipiga chini ofa hiyo.

Monday, June 8, 2015

MAKOSA 10 MKATABA WA SIMBA, SINGANO

Ramadhani Singano ‘Messi’ akisaini mkataba wake na Simba.
Na Mwandishi Wetu
SAKATA kubwa linaloutikisa mpira wa Tanzania sasa ni ule mkataba kati ya kiungo Ramadhani Singano ‘Messi’ na klabu yake ya Simba.Messi anasema mkataba wake unaisha 2015, lakini Simba inasisitiza mkataba wao na Messi unaisha mwaka 2016, jambo ambalo linazua tafrani kubwa.

Wednesday, June 3, 2015

BLATTER AJIUZULU URAIS FIFA


 
Rais wa FIFA, Sepp Blatter ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo.
 
Sepp Blatter akiwapongeza wajumbe wa FIFA baada ya kushinda nafasi hiyo siku sita zilizopita.

Maafisa wakuu wa FIFA waliokamatwa siku mbili kabla ya uchaguzi.
MTIKISIKO, Rais wa FIFA Sepp Blatter (79) ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Urais wa Shirikisho la Soka Duniani (Fifa) kufuatia kashfa ya rushwa.
Taarifa iliyotolewa leo makao makuu ya FIFA mjini Zurich, Uswisi, Blatter amesema anaondoka baada ya miaka 17 kama mtu mwenye nguvu katika soka.

Monday, May 25, 2015

Drogba kuondoka Chelsea

Mshambuliaji wa Chelsea Didier Drogba anaihama klabu hiyo kwa mara ya pili.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 37 alisajiliwa na klabu hiyo mwaka 2004 na amefunga mabao 164 katika mechi 381.
 

Ningependa kucheza tena kwa msimu mmoja zaidi na kwa hilo kufanikiwa itabidi nihamie kilabu nyengine aliuambia mtandao wa Chelsea.
Mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho alimsajili kwa mara ya pili Drogba kwa kandarasi ya mwaka mmoja baada ya kuondoka Galatasaray.

TAARIFA KUTOKA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)


Jana jumapili tarehe 24, Mei 2015 Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF imeketi katika ukumbi uliopo makao makuu ya Shirikisho uwanja wa Karume.
Kamati ya Utendaji imepitia masuala mbalimbali na kutoa maamuzi yafuatayo:
CLUB LICENCING (Leseni za vilabu)
Kamati ya Utendaji imeiagiza sekretarieti ivisisitize vilabu vya Ligi Kuu umuhimu wa kukamilisha maombi yao ya ushiriki wa ligi kuu kwa msimu wa 2015/16 kwa kuwasilisha fomu za maombi ya Leseni za vilabu TFF. Klabu ambayo haitakamilisha mchakato huo haitaruhusiwa kushiriki ligi kuu ifikapo msimu wa 2015/16.
KOMPYUTA - Kutokana na maamuzi ya mkutano mkuu wa TFF uliofanyika Morogoro ambao uliagiza wanachama wake wapya wapewe kompyuta, agizo hilo limetekelezwa na kompyuta hizo watakabidhiwa wajumbe wa Kamati ya Utendaji wanaotoka kanda hizo ili waziwakilishe maeneo husika. Mikoa hiyo ni Geita, Katavi, Manyara, Njombe na Simiyu.
MFUKO WA FDF - Kufuatia mkutano mkuu wa TFF kuingiza kipengele cha FDF katika katiba yake, kikao cha Kamati ya Utendaji wa mujibu wa katiba kimepitisha kanuni za uendeshaji wa mfuko huo.

     Aidha kikao hicho kimeteua wajumbe wafuatao wawe wajumbe wa      tume hiyo

     (i)Tido Mhando - Mwenyekiti,

     (ii) Deogratius Lyatto - Makamu mwenyekiti

     (iii)Ephraim Mafuru - mjumbe,

     (iv)Beatrice Singano - mjumbe,

     (v)Joseph Kahama - mjumbe

     (vi)Ayoub Chamshana - mjumbe.

Pia Henry Tandau ameteuliwa kuwa katibu mtendaji wa mfuko huo.

Tuesday, May 19, 2015

TAIFA STARS YAANZA VIBAYA COSAFA, YAFUNGWA NA SWAZILAND BAO 1-0


 
Beki wa timu ya taifa, Taifa Stars, Shomari Kapombe (kulia) akichuana na mchezaji wa Swaziland kwenye mchezo wao wa jana uliopigwa kwenye Uwanja wa Royal Bafokeng Sports Palace katika michuano ya Cosafa inayoendelea huko Afrika Kusini. Stars ilifungwa bao 1-0.
 
Straika wa Stars, John Bocco akiruka hewani kuwania mpira na mchezaji wa Swaziland.
Kiungo wa Stars, Erasto Nyoni akijaribu kumtoka mchezaji wa Swaziland katika mtanange huo wa kwanza wa Stars katika michuano hiyo.
TAIFA Stars jana imeanza vibaya michuano ya Kombe la Cosafa, baada ya kufungwa bao 1-0 na Swaziland katika mchezo wa kwanza wa Kundi B, katika Uwanja wa Royal Bafokeng, Afrika Kusini.
Matokeo hayo yanaiweka Stars inayofundishwa na Mholanzi, Mart Nooij katika mazingira magumu ya kwenda Robo Fainali baada ya Madagascar kuifunga 2-1 Lesotho katika mchezo wao wa kwanza.
Inaelezwa kuwa Nooij anaweza kuwa kwenye wakati mgumu kwa sasa baada ya kufungwa mechi hiyo pamoja na matokeo mengine ya mechi zilizopita za timu hiyo.

Saturday, May 9, 2015

Yanga yamuuza Msuva Sh bilioni moja

 
Winga wa Yanga, Simon Msuva.
Na Wilbert Molandi
Dar es SalaamWINGA wa Yanga, Simon Msuva anaendelea vizuri na majaribio katika kikosi cha Bidvest Wits ya Afrika Kusini, uongozi wa timu yake umesema kama akifuzu upo tayari kumuuza kwa dau la dola 700,000 (zaidi ya Sh Bilioni 1.3).

Yanga imeamua kukata mzizi wa fitina baada ya Msuva kutoroshwa katikati ya wiki hii kwenda Afrika Kusini kufanya majaribio katika klabu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Afrika Kusini (PSL).
Msuva ambaye mkataba wake unafikia tamati msimu ujao, leo anamaliza majaribio na kurejea nchini usiku na kama akifuzu atakuwa ameitajirisha klabu yake ambayo tayari imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara ambapo leo inakamilisha ratiba kwa kucheza na Ndanda FC kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara.

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate