HONGERA WALTER CHILAMBO KWA JITIHADA ZAKO AMBAZO WATANZANIA WAMEZIONA NA NDO MANA WAKAKUPIGIA KURA KWA WINGI NA KUWEZA KUJIPATIA KITITA HICHO CHA MILIONI 50,JAPOKUW MIMI BINAFSI KURA ZANGU ZILIENDA KWANSLMA ILA YOTE KHERI .JITIHADA ZAKO ZISIISHIE HAPO TU ENDELEZA KIPAJI CHAKO NA UENDELEE KATIKA MZIKI UWE JUU ZAIDI YA WALIOPO SASA .( Walter Chilambo amefanikiwa kuchukua shindi wa shindano la kusaka vipaji BSS kwa kuwabwaga wenzake watano ambapo nafasi ya pili imeenda kwa Salma yusufu na watatu ni Wababa mtuka ambapo wanandugu nsami nkwabi nafasi ya nne na Nshoma nkwabi nafasi ya tano.) Chanzo cha habari ni kithuraahtz.blogspot.com
![]() |
WALTER CHILAMBO WINNER EBSS 2012. |
![]() |
MY GUITTTER GIRL U ARE A REAL STAR.. |
SALMA UNAKIPAJI CHA HALI YA JUU NA WADAU WAMWKIONA NA NNAUHAKIKA HADI HAPO ULIPOFIKIA THAMANI YAKO NI ZAIDI YA 50MILION HIVYO USIKATE TAMAA KWANI WE NI BADO BINTI MDOGO SANA NA UNA NAFASI NYINGINE KUONYESHA UWEZO WAKO .
HONGERA SANA NA SANA NA SANAA WALTER CHILAMBO..
WISH YOU ALL THE BEST KATIKA MAUMIZI YA PESA ZAKO.
No comments:
Post a Comment