Kupitia blog yake, muimbaji Khalid Ramadhan Tunda aka Tundaman
ametangaza kuwa yeye ndiye msimamizi rasmi wa kazi za rapper Chidi Benzi
kwa sasa.

“Kuanzia sasa mimindie nitakua msimamizi wa kazi za msanii Chidi
Benz,na nimejipanga kumrudisha chidi kama zamani katika game, na kwa
sasa tumegonga ngoma mbili kali sana ambazo zimefanyika AM Rec,kwa
mdundo wa Manecky,kaeni tayari kupokea kazi nzuri.”Unaamini Tundaman anaweza kumrudisha Chidi kwenye game? tupe maoni yako.
No comments:
Post a Comment