Dk Mukangala Aipongeza NSSF Kuviunganisha Vyombo vya Habari
Nahodha wa timu ya mpira wa pete ya Business Times Limited akikabidhiwa kikombe mara baada ya timu hiyo kuibuka mabingwa.
Nahodha wa timu ya mpira wa pete ya Business Times Limited akikabidhiwa
kitita cha shilingi milioni 4 baada ya timu hiyo kuibuka mabingwa
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma
Nkamia (mwenye traksuti nyeusi) akikabidhi kikombe kwa nahodha wa timu
ya mpira wa miguu ya Business Times Limited baada ya timu hiyo kuibuka
mabingwa wa mpira wa miguu. Wengine ni viongozi wajuu wa NSSF
wakishuhudia.
Nahodha wa timu ya mpira wa miguu ya Business Times Limited akionesha
kitita cha shilingi milioni 4 na Nusu mara baada ya timu hiyo kuibuka
mabingwa wa mpira wa miguu. Nahodha wa timu ya mpira wa miguu ya Business Times Limited akionesha kombe juu mara baada ya kukabidhiwa na mgeni rasmi
Baadhi ya wachezaji wa Business Times Limited wakishangilia kikombe na
kitita cha shilingi milioni 4 na Nusu mara baada ya timu hiyo kuibuka
mabingwa wa mpira wa miguu
No comments:
Post a Comment