Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abas Kandoro wa kwanza kutoka kulia Pamoja na
mgeni Rasmi Dr Christina Shengoma wakiwa ndani ya viwanja vya nane nane
leo

Haya ni Mambo yale ya nyama choma ndani ya nane nane Live

Mdau akiwa anaweka sawa kitu cha nyama choma



Ndani ya Mist


Ni Jengo la Mamlaka ya maji hapa


Mgeni Rasmi akipokea Maandamano


Muda wa Kupita na Mabango umefika sasa watu mbali mbali wanapita na mabango yao wakiwemo wafanya biashara na wakulima


Wananchi na wadau mbali mbali wakiwa katika mapokezi na kuangalia Maandamano hayo ya maonesho

Kilimo kwanza

Pembejeo kibao zinapita hapa

Mgeni
Rasmi Dr Christina Shengoma akihutubia wakulima pamoja na wananchi wote
wa Jijini Mbeya pamoja na mikoa ya jirani waliofika kushuhudia nane
nane

Burudani


Wananchi wamejaa kila kona

Lile Gali linalo tumia Mtungi wa Gesi kutoka MIST ndilo linapita sasa


Mwandishi wa ITV Ndugu Festo akiwa anachukua kwa makini Ngoma za asili katika maonesho ya nane nane leo.

Picha
zote zimepigwa na Ndugu Joseph Mwaisango ambaye ni Mwandishi mkuu na
tukio limeruka hewani moja kwa moja Fredy Tony Njeje wote wa Mbeya yetu
Blog iliyo chini ya Tone media Group.
Tunawatakia Sherehe Njema za Nane nane
No comments:
Post a Comment