EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Saturday, May 31, 2014

BREAKING NEWS....GEORGE TYSON AFARIKI DUNIA...BONGO MUVI TENA DAAA!

George Tyson enzi za uhai wake.
Mwongozi filamu na aliyekuwa mume wa msanii wa filamu Monalisa, George Tyson amefariki dunia baada ya kupata ajali mbaya ya gari Morogoro akitokea mkoani Dodoma.
 Gari aliyopata nayo ajali  Morogoro akitokea mkoani Dodoma.
Mwigizaji Yvon Cherry ‘Monalisa’.

LIKE PAGE YETU HAPA KUPATA HAARI ZA HARAKA MUDA WOTE

Friday, May 30, 2014

MWANAFUNZI UDSM AFARIKI ALIPOKUWA AMEJIPUMZISHA

Mwanafunzi  wa UDSM Sakabenga Mwakimenya afariki akiwa usingizini alipokuwa amejipumzisha mchana wa leo!
Marafiki zake wa karibu wamesema, Sakabenga aliwaaga kuwa anakwenda kupumzika kidogo lkn ana kipindi saa saba kamili hivyo anaomba muda ukifika wamwamshe!
Saa 7 ilipofika rfk yake alikwenda kumuamsha lkn akashangaa Sakabenga alikuwa amefariki huku akiwakashika ufunguo wake!

MASKINI! MTOTO SHIGELA ALIYEZALIWA NA VVU AAGA DUNIA JIJINI MWANZA‏


10342004_1886404071498512_8618777191309208307_nMarehemu Shigela enzi za uhai wake akihojiwa na Mtangazaji wa Kipindi cha Mimi na Tanzania, Hoyce Temu.
Mtoto Shigela amefariki dunia jana asubuhi tarehe 29/05/2014 nyumbani kwao mkoani Mwanza akisumbuliwa na maradhi ya moyo.

LADY JAYDEE, JULIANA KANYOMOZI AND JAMILA MBUGUA NAMED ORIFLAME BEAUTY AMBASSADORS‏

KK,HJ,JM,JD standing   
From left: Henrik Johannesson( Vice President of Oriflame Africa), Lady Jaydee, Jamila Mbugua(Kenyan Musician), Klas Kronaas (Managing Director Oriflame East Africa) posing for a photo after announcing them to endorse Oriflame beauty and cosmetic line in East Africa.
Swedish beauty company, Oriflame Cosmetics, has announced the appointment of three renowned Eastafrican celebrities as brand ambassadors. The three Lady Jaydee, Juliana Kanyomozi and Jamila Mbugua, will represent the Oriflame brand in Uganda, Tanzania and Kenya respectively.
The partnership is in line with the company’s growth strategy underlined by growing its East Africa sales force and expansion to other African markets. The strategy is anchored on four main pillars including network marketing, world class service, brands & products and people and culture.

VILIO VYATAWALA MAZISHI YA RECHO NA MWANAE

RECHO HAULE, MWANAE WAPUMZISHWA KATIKA NYUMBA ZAO ZA MILELE, KINONDONI DAR JANA

Mchumba wa marehemu, George Saguda (kushoto) akiweka udongo katika kaburi la Racho na mwanae.
Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Nyerere akiweka shada la maua katika kaburi la Recho.
Waombolezaji wakiweka mashada juu ya kaburi.
Waombolezaji wakiwa katika simanzi.
Miili ya marehemu Recho na mwanae ikipelekwa eneo la makaburi.
Jeneza lenye mwili wa Recho likiwa tayari kushushwa kaburini.
Mazishi ya mtoto wa Recho.

Thursday, May 29, 2014

WAREMBO WANAOSHINDANIA MISS TABATA 2014 WAENDLEA KUJINOA KWENYE UKUMBI WA DAR WEST PARK

 Warembo wanaoshindania miss Tabata 2014 wakiwa kwenye pozi wakati wa mazoezi ya shindano hilo na fainali itakalofanyika siku ya Ijumaa tarehe 06/06/ 2014. Mashindano haya ya Miss Tabata 2014 yatafanyika kwenye ukumbi wa Dar West Park.
 Mwalimu Pasilida Mandari anayewanoa warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 akizungumza na warembo hao wakati wa mazoezi.
 Warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 wakiwa watokelezea kwenye pozi tofautitofauti wakati wa mazoezi yanayoendelea eneo la Tabata Dar West Park.

RACHEL HAULE 'RECHO' TUTAKUKUMBUKA DAIMA!

MIILI YA RECHO NA MWANAE YAWASILI LEADERS KUAGWA

Majeneza yenye miili ya Recho na mwanaye.

Miili ya Rachel Haule 'Recho' na mwanaye ikishushwa kwenye gari maalum baada ya kuwasili Viwanja vya Leaders ikitokea nyumbani Palestina, Dar tayari kwa kuagwa.

HATUJAWAHI KUMKOPESHA MBOWE, WALA KUWASAIDIA "SUGU" NA MSIGWA - MFUKO WA PENSHENI WA LAPF

MFUKO WA PENSHENI WA LAPF NI MFUKO WA HIFADHI YA JAMII NCHINI TANZANIA WENYE MAKAO
MAKUU YAKE MJINI DODOMA.

MFUKO WA LAPF  UNAPENDA KUKANUSHA TAARIFA ZILIZOTOLEWA NA BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI KUWA LAPF ILITOA MSAADA KWA MBUNGE WA MBEYA MJINI MH. JOSEPH MBILINYI  (kulia) NA MBUNGE WA IRINGA MJINI MH. PETER MSIGWA (kushoto).

IELEWEKE KUWA INGAWA WAHESHIMIWA WABUNGE AU MTU AU TAASISI YEYOYE HAWAZUILIWI KUOMBA MSAADA WA KIJAMII, MH. MBILINYI NA MH. MSIGWA HAWAJAWAHI KUWASILISHA MAOMBI NA HAWAJAWAHI KUPEWA MSAADA WOWOTE NA LAPF.

AIDHA LAPF INAKANUSHA HABARI ZILIZOTOLEWA KATIKA GATEZI LA MTANZANIA LA TAREHE 26 MEI 2014 TOLEO NA. 7472 KUWA WAHESHIMIWA WABUNGE NI WASUMBUFU NA KUMFANYA MKURUGENZI MKUU ASIENDE BUNGENI.

WACHEZAJI 10 WANAOKWENDA KUCHEZA FAINALI YA KOMBE LA DUNIA KWA MARA YA KWANZA BRAZIL, USIKOSE KUWATAZAMA

Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Mtandao
players-pogba-mr
1. Paul Pogba-kiungo wa Ufaransa, miaka 21.
Pogba akiwa bado ana miaka 21 amekuwa jasiri ndani na nje ya uwanja. Wengi walishangaa kumuona kiungo huyo akipanda kiwango chake kwa kasi alipoondoka Manchester United na kujiunga na Juventus mwaka 2012 kwa lengo ka kutafuta namba katika kikosi cha kwanza.
Amekuwa shujaa wa Claudio Marchisio katika sehemu ya kiungo kwenye ligi ya Seria A msimu uliopita na aliichezea Ufaransa mechi ya kwanza ya kirafiki ya kimataifa machi 2013 dhidi ya Georgia.
Mwezi Julia mwaka huo huo alifanya kazi kubwa kuisaidia timu ya taifa ya Ufaransa chini ya miaka 20 katika fainali za kombe la dunia, haikuwa rahisi kwa Ufaransa kwenda kombe la dunia bili kijana huyu mahiri.
Umahiri wa Pogba amempatia nafasi ya kucheza timu ya taifa na taarifa nzuri ni kwamba atakuwa huru nchini Brazil kutoa mchango wake kama alivyofanya nchini Italia. Kuwepo kwa Yohan Cabaye na Blaise Matuidi katika safu ya kiungo kutamruhusu Pogba kusogea mbele safu ya ushambiliaji.
Frederic Lipka, ambaye ni mkurugenzi wa kituo kilichomlea Pogba cha Le Havre kabla ya kwenda England, alisema mwaka 2010 kuwa kijana huyo yuko vizuri kiufundi kuliko hata Patrick Vieira wakati akiwa na umri kama wake. Kwasasa tunasubiri kuona alimaanisha nini.
players-veltman-mr
2. Joel Veltman- Beki wa kati wa Uholanzi, miaka 22.
Habari njema kwa beki huyu wa Ajax ni kwamba; kocha mkuu wa Uholanzi Van Gaal ameamua kumpa nafasi katika kikosi chake kinachotumia mfumo wa 4-3-3.

Wednesday, May 28, 2014

TANZANIA MOVIE TALENTS YAIVA JIJINI DAR ES SALAAM


 
KARIBU  UCHUKUE  FOMU  NI  BUREEEEEEEEE
Baada ya Kumaliza shindano la Tanzania Movie Talents Kwenye Kanda tano za Tanzania yaani Kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Kanda ya Kusini na Kanda ya Kaskazini sasa ni zamu ya kanda ya Pwani ambayo inahusisha Mikoa ya Dar Es Salaam, Morogoro na Mkoa wa Pwani kushiriki kwenye shindano la Kwanza na La aina yake ambalo halijawahi kutokea Afrika Mashariki na Kati likiendeshwa na Kampuni ya Proin Promotions Limited.
Ratiba ya Dar Es Salaam
Ni kuanzia Umri wa Miaka 14 na Kuendelea.
UKUMBI NI MAKUMBUSHO YA TAIFA KARIBU NA CHUO CHA IFM KUANZIA SAA 2 ASUBUHI Kwa Mawasiliano Zaidi Piga  0658 700 400 0687 707  071
Au Tembelea Ukurasa Wetu wa Facebook: http://www.facebook.com/tztmt Instagram: @tmt_tz

WAMBURA KUKATA RUFAA KUPINGA KUSIMAMISHWA

WAMBURA

Mgombea wa urais katika klabu ya Simba aliyeondolewa kugombea na kamati ya uchaguzi ya klabu hiyo, atakata rufaa.
Michael Richard Wambura ameondolewa kushiriki uchaguzi kwa kuwa si mwanachama.

Kwa mujibu wa kamati hiyo, Wambura alisimamishwa uanachama kutokana na kitendo chake cha kuipeleka Simba mahakamani, lakini hakuwahi kurudishwa.

DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOPAGAWISHA HOUSTON TEXAS

SPURS YAPATA KOCHA MPYA, NI MUARGNETINA MKALI WA KUIBUA VIPAJI

KLABU ya Tottenham imemthibitisha Mauricio Pochettino kuwa kocha wake mpya Mkuu.
Muargentina hyo alijiuzulu nafasi ya ukocha katika klabu ya Southampton, ambako aliwavutia wengi kwa kazi yake nzuri ikiwa ni pamoja na kuinua vipaji vya chipukizi wengi wa England.
Pochettino amepewa Mkataba wa miaka mitano White Hart Lane na Mwenyekiti wa Spurs, Daniel Levy, kurithi mikoba ya Tim Sherwood aliyefukuzwa.
Ofisi mpya: Mauricio Pochettino ndiye kocha mpya wa Tottenham Hotspur baada ya kusaini Mkataba wa miaka mitano

MUONEKANO WA KIM, KANYE WEST SIKU YA NDOA YAO

Kim Kardashian na Kanye West wapigana busu baada ya kufunga ndoa Jumamosi iliyopita, Forte di Belvedere Florence, Italia.
...Mke na mume ambao ni Kim Kardashian na Kanye West wakiwa wameshikana mikono baada ya kufunga ndoa.
Kim akiwa ndani ya gauni lake la harusi siku ya ndoa yake huko Forte di Belvedere Florence, Italia.
CHANZO: DAILYMAIL

Tuesday, May 27, 2014

RIP RACHEL HAULE

BREAKING NEWS: Msanii Bongo movies 'Rachel' afariki!
Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam.
Habari zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuwa mbaya na baadae kufariki dunia.

BINTI ALIYEZIKWA AIBUKIA KWAO

Stori: Joseph Ngilisho, ARUMERU
HOFU ya ushirikina imetikisa Mkoa wa Arusha kufuatia tukio la hivi karibuni ambapo mwanafunzi wa Chuo cha Kompyuta jiji hapa, Witness Obed (21) aliyefariki dunia Aprili 12, mwaka huu na kuzikwa kwenye makaburi ya nyumbani kwao Kijiji cha Nanja, Kata ya Moshono wilayani Arumeru, Arusha kuibuka akiwa hai.
Witness Obed (21) aliyefariki dunia Aprili 12 mwaka huu na kuzikwa kwenye makaburi ya nyumbani kwao Kijiji cha Nanja, mkoani Arusha na kuibuka akiwa hai tena.
Binti huyo aliibuka kwao hivi karibuni akiwa mpole na kuwafanya baadhi ya watu, wakiwemo wazazi wake kutimua mbio kwa hofu.

PIGO TENA BONGO MUVI: RECHO HAULE AFRIKI DUNIA

Rachel Haule ‘Recho' enzi za uhai wake.
BREAKING NEWS: Msanii Bongo movies 'Rachel' afariki!
Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam. Habari zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuwa mbaya na baadae kufariki dunia.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!

Monday, May 26, 2014

TASWIRA MBALI MBALI WAKATI WA KUREKODI VIDEO MPYA YA CHEGE NA TEMBA KUTOKA TMK WANAUME


Wasanii wa Muziki wa Kizazi kipya kutoka TMK Wanaume Family,Temba na Chege wakiwa ndani ya ndege wakati wakiendelea Kurekodi Video yao mpya ambayo itatoka hivi karibuni.

Sehemu ya Wadau wa Muziki wanaoshiriki kwenye video hiyo ni pamoja na Julio,Madee na Jokate kama wanavyoonekana pichani hapa.

Yanga SC yambakiza Chuji

UONGOZI wa Yanga umesema haujamuacha kiungo mkabaji, Athumani Idd ‘Chuji’.
Hiyo ni siku chache tangu kuwepo kwa taarifa za kiungo huyo kuachwa.
Akizungumza na Championi Jumatatu, Katibu Mkuu wa Yanga, Beno Njovu, alisema Chuji bado ni mchezaji wao mwenye mkataba wa kuichezea timu hiyo.
Njovu alisema hadi hivi sasa, hakuna mchezaji yeyote watakayemuacha kwa wale wote wenye mikataba mirefu ya kuendelea kuichezea Yanga.
“Hizo zote zinazozungumzwa ni tetesi na siyo habari rasmi kutoka kwa viongozi, Yanga haina mpango wa kumuacha mchezaji yeyote mwenye mkataba na Yanga.
“Yanga hivi sasa ipo kwenye mazungumzo na baadhi ya wachezaji kwa ajili ya kuwasajili kwenye msimu ujao, ninaamini yakiendelea vizuri haraka tutawasajili,” alisema Njovu.                                     

NIKKI WA PILI: SIJAWAHI KUMTUNGIA NGOMA JOH MAKINI

KIFO CHA AMINA NGALUMA, MASWALI MENGI YAIBUKA

Friday, May 23, 2014

MCHUMBA WA KUAMBIANA AIBUKA!


MAMBO yameanza! Siku mbili tu baada ya mazishi ya mwigizaji na mwongoza filamu mahiri Bongo, marehemu Adam Kuambiana, mrembo mmoja ameibuka na kusema alikuwa mchumba wa marehemu, Ijumaa linakujuza.
Mrembo anayejulikana kwa jina la Lulu Jumanne ‘Selina’.
Kwa mujibu wa mrembo huyo, Lulu Jumanne ‘Selina’, alifahamiana na marehemu Kuambiana mwaka 2006 akamwambia ndoa yake haipo sawasawa.

SHAKIRA ATOA VIDEO YA WIMBO WAKE WA KOMBE LA DUNIA 2014 ‘LA LA LA’ AWASHIRIKISHA MESSI, PIQUE, NEYMAR

SKYLIGHT BAND WAZIDI KUWAPA RAHA ZISIZO NA KIFANI MASHABIKI WAKE JIJINI DAR, USIKOSE LEO NDANI YA THAI VILLAGE‏

Sam Mapenzi akiliazisha Taratibuuuuu ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Vijana wa Skylight kwa Taaratibuuu wakiimba kwa hisiaa kali kuwapa burudani mashabiki wao ndani ya kiwanja cha Thai village.
Anaitwa Hashim Donode (mzee wa viduku)akiimba kwa Hisia kaliiiii kabisaaa ndani ya kiwanja cha Thai Village Ijumaaa iliyopita ili kuwapa ile kitu roho inapenda mashabiki wao.
Toka kushoto Digna Mbepera akimpa sapoti ya nguvu kijana machachariiiiii anayejulikana kwa jina la Donode wakati akirusha vocal kaliiiii kwa hisia ndani ya kiwanja cha Thai Village

Wednesday, May 21, 2014

UGOMVI WA KAJALA, WEMA WABUNGE WAINGILIA KATI

Stori: Mwandishi Wetu
Mambo bado mabaya! Ule ugomvi wa mashosti wawili nyota katika tasnia ya sinema Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Kajala Masanja ‘K’, sasa umechanja mbuga hadi kufika mjengoni, ambako inadaiwa kuwa baadhi ya wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wameingilia kati ili kuumaliza, Risasi Jumatano linakuhabarisha.
Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Kajala Masanja ‘K’, wakiwa kwenye pozi enzi za ushosti wao.
Kwa mujibu wa chanzo makini, baada ya mvutano wao wa muda mrefu, wabunge hao walimwita Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ na kumuuliza kama ni kweli wawili hao hawaelewani.

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate