EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Sunday, August 31, 2014

MWANAAFA MWINZAGO AIBUKA KINARA WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014 NA KUONDOKA NA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 50 ZA KITANZANIA

Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Bw Johnson Lukaza akitoa neno kwa wadau waliojitokeza kushuhudia fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) lililokuwa pia likirushwa live kupitia Kituo Cha Runinga cha ITV
Mwanaafa Mwinzago (katikati) akishangilia Mara baada ya kutangazwa Mshindi wa Kitita Cha Milioni 50 za Kitanzania katika Fainali ya Kumsaka Mshindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mlimani City na Kuhudhuriwa na Mamia ya Watanzania.
Mwanaafa Mwinzago (katikati) akiwa katika picha ya Pamoja na wazazi wake na timu ya wafanyakazi wa TMT na washiriki wenzie mara baada ya kukabidhiwa mfano wa Hundi ya Shilingi Milioni 50 za Kitanzania Mara baada ya Kuwabwaga Washiriki wenzie tisa na Kuibuka Mshindi wa Kitita Cha Milioni 50 za Kitanzania katika Fainali ya Kusaka Vipaji Vya Kuigiza Nchini lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents (TMT) ambalo limefikia Ukingoni Jana Katika Ukumbi wa Mlimani City.
Washiriki wa Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 waliofanikiwa kuingia Kumi Bora wakiwa wanasubiri mshindi atangazwe 
Host Wa TMT 2014 Joti akimpongeza Baba wa Mwanaafa Mwizago kwa Mwanae kuibuka Mshindi wa Fainali ya Tanzania Movie Talents (TMT) na kuibuka na kitita cha Shilingi Milioni 50 za Kitanzania
Mwanaafa Akiwa amembeba Mdogo wake mara baada ya kutangazwa Mshindi wa Fainali ya Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 na kuibuka na kitita cha Shilingi milioni 50.
Lulu akionyesha Bahasha iliyokuwa na JIna la Mshindi wa Tanzania Movie Talents (TMT) ambae ni Mwanaafa Mwinzago na Kumfanya kujishindia Shilingi Milioni 50 za Kitanzania

Freeman Mbowe apata ‘mbabe’ mwenzake

 Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora, Kansa Mbarouk (aliyevaa gwanda) akirudisha fomu ya kugombea nafasi ya Uenyekiti Taifa wa chama hicho. Waliomzunguka ni walinzi wake. Na Mpigapicha Wetu 

Dar es Salaam. 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora, Kansa Mbarouk amejitokeza ‘kupimana kifua’ na Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Freeman Mbowe katika uchaguzi wa ndani unaotarajiwa kufanyika Septemba 14.

Mbarouk alirejesha fomu hizo makao makuu ya Chadema jana mchana huku akikumbana na kizingiti cha kuzuiwa na walinzi kuingia ndani kurejesha fomu akiwa pamoja na waandishi wa habari na hata alipotoka nje hakutakiwa kuzungumza na waandishi hao karibu na jengo hilo.

MKOA WA KAGERA WACHUKUA TAHADHARI DHIDI YA EBOLA

Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali mstaafu Fabian Massawe akitoa ufafanuzi namna Serikali livyojipanga kukabiliana na ugonjwa wa Ebola mkoani humo kwa  kuongeza vifaa kinga na kuwawezesha kielimu  wataalam wa afya wanaofanya kazi ya uchunguzi wa dalili za ugonjwa huo walioko katika vituo vya ukaguzi mpakani.
Afisa Afya wa Kituo cha Ukaguzi cha Kabanga, mpakani mwa Tanzania na Burundi  Bw. Amos Mangaluke akipitia fomu zilizojazwa na raia kutoka nje ya nchi wanaotumia mpaka huo kufuatia  zoezi la uchunguzi wa dalili za awali za ugonjwa wa Ebola linalofanyika kituoni hapo.

SOUTHERN AFRICAN FASHION SHOW YAFANYIKA KWA KISHINDO‏

Washereheshaji wakifanya vitu vyao kwenye usiku wa onesho la mavazi kutoka kwa wanamitindo na wabunifu mbalimbali wa nchi za kusini mwa Afrika wakiwemo wabunifu wawili Watanzania waliopendezesha maonesho hayo.
 
Juu na chini ni bendera kutoka nchi washiriki zikipita kwenye ufunguzi wa maonesho hayo yaliyofanyika siku ya Ijumaa Agosti 29, 2014 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.

MAKAMUZI YA SERENGETI FIESTA MJINI MOSHI‏


Burudani zikiwa zimepamba moto katika Tamasha la Serengeti Fiesta mjini Moshi usiku huu.
Chegge (kulia) na Mhe. Temba wakilishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta Moshi.

Saturday, August 30, 2014

YANGA, OKWI SASA NI VITA

YETU macho katika hili; Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi, ambaye juzi jioni alijiunga na Simba kudai kuwa atapambana na Wanajangwani hao kuhakikisha haki yake inapatikana.
Maneno hayo ya Okwi yamekuja baada ya kudai kuwa Yanga imevunja naye mkataba kisha kumfungulia mashtaka katika Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa madai ya kushindwa kuzingatia makubaliano yake na klabu hiyo kwa mujibu wa mkataba wake.

DIVA, AUNT KIMENUKA CHANZO UJAUZITO!

JAMBO limezua jambo! Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amemvaa prizenta wa Kipindi cha Ala za Roho cha Redio Clouds FM, Lovennes Malinzi ‘Diva’ kwa madai kwamba amemtangaza mitandaoni kuwa amepachikwa ujauzito na mume wa mtu ambaye ni densa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Peter ‘Moze Iyobo’, jambo ambalo ni uongo.
Prizenta wa Kipindi cha Ala za Roho cha Redio Clouds FM, Lovennes Malinzi ‘Diva’

ADVANCED WEBSITE DESIGN and REDESIGN WITH A LOWEST PRICE.

If you are looking for Web designer to design our Website or to Redesign our website with lowest price/Cost please contact me as a Professional Web developer so as to build an advanced website for our Company or Organization. Contact us 0755 451 999 or Email us nicotrac68@gmail.com or Global WhatsApp 0654 50 42 66
Categories of Website (What I Do)
·          Tourism Company Website
·          NGO’s website.     
·           Law Firm company Website
·          Hotel & Restaurant Website
·          Educational Website
·          Business Company Website
·          Hospital and Clinic Website
·          Insurance Company Website
·          E-shopping Website
·          Personal Website
·          Wedding Website
·          Fashion Website
·          Family Website
Also we provide Website Maintenance (regular Updates service) Achieve your goals through running with Technologies, so please Contact me for more details and to show you some projects, through;
Contact us 0755 451 999 or Email us nicotrac68@gmail.com

WATU WATATU WANUSURIKA KUFA KWA AJALI DAR

Mchina aliyekuwamo kwenye gari akizungumza kwa simu, pembeni yake ni askari wa usalama barabarani.
Watu wakishuhudia gari likitolewa mtaroni.

HATIMAYE TORRES AONDOKA CHELSEA, AENDA KUZIBA PENGO LA BALOTELLI AC MILAN

HATIMAYE mshambuliaji Fernando Torres amemaliza miaka yake mitatu na nusu migumu Chelsea kwa kukubali kuhamia AC Milan.
Mchezaji huyo wa Hispania anakwenda kuziba pengo la Mario Balotelli ambaye Milan imemuuza kwa Pauni Milioni 16 Mtaliano huyo Liverpool.
Wakala wa Torres alifanya mazungumzo na Milan Alhamisi asubuhi na mshambuliaji huyo amekubali kujiunga na vigogo hao wa Italia kwa miaka miwili.
Amechuja: Licha ya kusajiliwa kwa Pauni Milioni 50 kutoka Liverpool, Torres amemudu kufunga mabao 45 tu katika mechi 172 alizocheza Chelsea
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 anahamia San Siro kwa mkopo wa miaka miwili.
Torres aliyetua Stamford Bridge kwa dau la Pauni Milioni 50 alikuwa amebakiza miaka miwili katika mkataba wake wa Pauni 150,000 kwa wiki Stamford Bridge na inaaminika wawakilishi wake walipatana kiasi hicho hicho cha mshahara kabla ya mchezaji huyo kukubali uhamisho huo. 
Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho alikuwa radhi kumuacha Torres kabla ya dirisha la usajili kufungwa Jumatatu ili kupata nafasi ya kusajili mshambuliaji mwingine na Loic Remy sasa yupo kwenye nafasi nzuri ya kutua Magharibi mwa London kutoka Queens Park Rangers.

REKODI YA FERNANDO TORRES... 

Atletico Madrid (2001-2007) Mechi 244, mabao 91
Liverpool (2007-2011) Mechi 142, mabao 81
Chelsea (2011-2014) Mechi 172, mabao 45
Timu ya taifa Hispania tangu 2003; Mechi 110, mabao 38

Rihanna Anasema Kwake Huyu Ndio Mwanaume Mwenye Mvuto Zaidi Duniani

265722-rihanna-503 
Msanii Rihanna aliyewahi kuwa na mahusiano na wasanii wenzake Drake na Chris Brown amefunguka hivi karibuni kwenye interview na Elle kuwa mwanaume anayeamini ana mvuto zaidi duniani ni mwigizaji Vince Vaughn.
Rihanna amewahi kutajwa kuwa mwanamke mwenye mvuto zaidi na mtandao wa FHM & Maxim and having been namna pia mwanamke mwenye mvuto zaidi aliyehai na jarida la Esquire’ 2011.

SOMA KWA UNG'ENG'E YANGA ILIVYOOMBA KUVUNJA MKATABA NA OKWI

UKURASA WA KWANZA WA BARUA AMBAYO YANGA ILITAKA MKATABA WAKE NA EMMANUEL OKWI UVUNJWE AU KUPUNGUZWA, ZOEZI HILO HATA HIVYO HALIKUFANYIKA. CHINI NI UKURASA UNAOENDELEA WA BARUA HIYO.

UCHUMBA WA MASOGANGE WATIBULIWA


Stori: Mwandishi Wetu
SIKU chache baada ya kupata uraia wa Afrika Kusini, uchumba wa Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ na mpenzi wake, Louis Dolnard umetibuliwa.
Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’
Hali hiyo ilijiri kutokana na madai kuwa kuna wanaume wamepeleka maneno ya kimbeya kwa mpenzi wake huyo yakiashiria kuwa mrembo huyo hajatulia.
Hata hivyo, Agnes amefunguka kuwa kamwe hawezi kuachana na mchumba wake huyo.
“Wanaume wengine sijui wapoje, wanapeleka maneno ya kimbeya kwa mchumba wangu sijui wanataka nini? Kwa taarifa yao siachiki ng’o,” alisema Masogange.

JIDE, DOGODOGO GUMZO MJINI! DOGO ANASWA NA MKOKO WAKE

Na Musa Mateja
OHOOO! Siku chache baada ya ndoa ya Legendary wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ na mtangazaji mahiri nchini, Gardner Gabriel Habash ‘G Habash’ kudaiwa kuvunjika, gumzo limeibuka kufuatia kunaswa kwa picha za Jide na kijana mmoja (dogodogo) aliyetajwa kwa jina la Meddy Ahmed ‘Mtoto wa Vitoto’, Risasi Jumamosi linakupa kinaga ubaga.
Legendary wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ akishow love na Meddy Ahmed ‘Mtoto wa Vitoto’.

ZITTO Kabwe aombwa kuwa mgeni rasmi katika jubileni ya miaka 25 ya Pomerini Sekondari‏

Mwenyekiti wa PAC  Zitto Kabwe akiwa na  mkamu wake  Deo Filikunjombe na  mbunge wa viti maalum mkoa  wa Tannga Amina Mwidau na Esta Bula  ambao ni  wajumbe wa PAC
Mkuu  wa  shule ya  Sekondari Pomerin Bw  Shadrack Nyaulingo.

MISS TANZANIA USA PAGEANT YAPAMBA MOTO, MAMISS WAANZA KUWASILI TAYARI KUWASHA MOTO LEO JUMAMOSI

 Miss Tanzania USA Pageant kesho itafikia ukingoni itakapofanyika Downtown, Silver Spring Maryland nchini Marekani katika picha Jesca Kalemera (aliyesimama) akijinoa mwishomwisho mbele ya washiriki wenzake huku Pendo Rancy (kushoto) mmoja ya waratibu wa Miss Tanzania USA Pageant akimsikiliza wengine katika picha ni washiriki wa Miss Tanzania USA Pageant 2014 Maria Rutayuga (wapili toka kushoto), Mercy Sukaya (watatu toka kushoto) ambaye anatokea Michigan na anayefuatia ni Grace Mlingi.

RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA DARAJA LA GULWE MPWAPWA


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakwanza kushoto  akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, Mbunge wa Mpwapwa Mheshimiwa Gregory Teu pamoja na Mbunge wa Kibakwe ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa George Simbachawene, akiweka jiwe la msingi kama ishara ya kuzindua rasmi ujenzi wa Daraja la Mto Gulwe lenye urefu wa mita 170 litakalo unganisha kati ya Wilaya ya Mpwapwa na Kibakwe.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglicana Tanzania Jacob Chimeleja, Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi, Mbunge wa Mpwapwa Mheshimiwa Gregory Teu, Mbunge wa Kibakwe ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa George Simbachawene pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe,  akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi ujenzi wa Daraja la Mto Gulwe lenye urefu wa mita 170.

Friday, August 29, 2014

BREAKING NEWS LIVE MUDA HUU: ILIYOKUWA HOTEL YA STOCKHOLM UYOLE MBEYA YATEKETEA KWA MOTO MUDA HUU


BREAKING NEWS: TUKIO KATIKA PICHA, WATU KUMI WAMEFARIKI DUNIA NA MAJERUHI SABA KATIKA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA MBALIZI LEO

Hivi ndivyo ambavyo Daladala hiyo ilivyojibamiza muda mchache uliopita 
Eneo hili la ubavuni ndipo eneo ambalo Daladala hiyo iliingia na Kujigonga 

OFFICIAL VIDEO: NAY WA MITEGO - MR NAY

SMS ZA USAGAJI ZA ANTI LULU ZANASWA

Stori: Waandishi Wetu
Kimenuka! Mama mmoja mkazi wa Sinza jijini Dar es Salaam, aliyejitambulisha kwa jina la Mama Zahara, ameibuka na madai mazito akimtuhumu msanii wa filamu ambaye pia ni mjasiriamali, Lulu Mathias Semagongo ‘Anti Lulu’ kumtumia ‘SMS’ za usagaji mwanaye aitwaye Zahara, Ijumaa lina kisa na mkasa.
Msanii wa filamu ambaye pia ni mjasiriamali, Lulu Mathias Semagongo ‘Anti Lulu’ akiwa kwenye duka lake la nguo na vipodozi.
Mama huyo, akiwa amefura, alitinga kwenye Ofisi za Magazeti Pendwa ya Global Publishers zilizopo Bamaga-Mwenge jijini Dar, mapema wiki hii na kueleza kuwa amebaini mchezo mchafu unaoendelea kati ya binti yake ambaye ni denti wa kidato cha pili na Anti Lulu.

RATIBA YA MAKUNDI YA MABINGWA ULAYA



CRISTIANO RONALDO MCHEZAJI BORA ULAYA

Mchezaji nyota wa Ureno na Real Madrid, Cristiano Ronaldo akibusu tuzo yake ya Mwanasoka Bora wa Ulaya baada ya kukabidhiwa usiku wa kuamkia leo mjini Monaco, Ufaransa.
Cristiano Ronaldo akifurahia.

Thursday, August 28, 2014

SANCHEZ AIPELEKA ARSENAL MAKUNDI LIGI YA MABINGWA ULAYA

BAO pekee la Alexis Sanchez limeipa ushindi wa 1-0 Arsenal katika mchezo wa marudiano hatua ya mchujo kuwania kupangwa kwenye makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya uliopigwa Uwanja wa Emirates usiku huu. Kwa matokeo hayo, timu ya Arsene Wenger inasonga mbele hatua ya makundi kwa ushindi wa jumla wa 1-0, baada ya sare ya 0-0 awali katika mchezo wa kwanza Uturuki. Wenyeji walilazimika kucheza pungufu ya mchezaji mmojka kwa dakika 15 za mwisho, baada ya 
Sanchez kulia akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao muhimu usiku huu Emirates
Matheiu Debuchy kutolewa nje kwa kadi ya pili ya njano. The Gunners wanakwenda hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa kwa mara ya 17 mfululizo baada ya ushindi huo. Kikosi cha Arsenal kilikuwa: Szczesny, Debuchy, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Flamini, Oxlade-Chamberlain, Cazorla, Wilshere, Ozil/Chambers dk76 na Sanchez. Besiktas: Zengin, Koybasi, Franco, Gulum, Motta, Hutchinson, Ozyakup, Kavlak/Uysal dk76, Pektemek/Tosun dk87, Ba, Sahan/Tore dk60.

MAINDA AGOMBANA KANISANI

Stori: Shani Ramadhani
MADAI mazito! Super lady wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ anadaiwa kugombana na muumini  mwenzake kwenye kanisa analoabudu kwa sasa, Amani  limedokezwa.
Super lady wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’.
TUJIUNGE NA MTOA HABARI
Kwa mujibu wa chanzo makini, tukio hilo la aina yake lilijiri kwenye kanisa hilo la kiroho lililopo chini ya mchungaji wake aliyetajwa kwa jina moja la Mwamposa, Sinza-Lion jijini Dar, Jumapili iliyopita. 

GIROUD AISHUHUDIA ARSENAL IKISONGA AKIWA KITANDANI


Mshambuliaji nyota wa Arsenal, Olvier Giroud ameishuhudia timu yake ikisonga mbele katika Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya makundi akiwa kitandani.

AUNT, NICE CHANDE WATIFUANA KWA MITUSI!

Stori: Musa Mateja
STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel na shostito wake Nice Chande, juzikati walijikuta walitifuana kwa matusi makali ya nguoni nyumbani kwa rafiki yao Wema Sepetu ‘Madam’ anayeishi mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Shostito wa Aunt Ezekiel, Nice Chande.
Chanzo makini cha habari kilichokuwa nyumbani kwa Wema, kililidokeza gazeti hili kuwa waigizaji hao wakiwa na rafiki yao mwingine, walianza kutukanana kwa jambo ambalo halikuweza kubainika mara moja, huku Madam akijitahidi kuwasuluhisha bila mafanikio.
Wakiwa na dalili zote za kubugia kiburudisho cha kutosha kilichowafanya wasione vibaya kupaza sauti za matusi mbele za watu, marafiki hao walitoka ndani ya nyumba hiyo na kuendelea kutukanana kana kwamba hawana akili nzuri.

XABI ALONSO ATANGAZA KUSTAAFU TIMU YA TAIFA HISPANIA




Kiungo nyota wa Real Madrid, Xabi Alonso ameamua kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Hispania.
Alonso amevunja ukimya na kutangaza kustaafu akiwa katika hatua za mwisho kujiunga na Bayern Munich ya Ujerumani kwa kitita cha pauni milioni 5.

VIONGOZI WA TAKUKURU WAKUTANA KILIMANJARO

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU unaofanyika katika ukumbi wa Kuringe.
Mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Dk Edward Hosea akizummza wakati wa Mkutano wa mkuu wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU .

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate