EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Monday, June 30, 2014

DIAMOND NA MASTAA WENZAKE WALIVYOTOKELEZEA KWENYE RED CARPET YA TUZO ZA BET 2014

 
 Diamond Platnumz akihojiwa na Karrueche Tran ambaye ni mpenzi wa Chris Brown kwenye Red Carpet ndani ya Ukumbi wa Nokia, Los Angeles, California.
 
Diamond katika pozi na Nelly.
 
Ashanti.
Floyd Mayweather akiwa na mpenzi wake.
 

Amber Rose.

WEMA NA KAJALA WAMEPATANA

Stori:  WAANDISHI WETU
Hatimaye! Manguli wawili wa Bongo Movies waliokuwa mahasimu wakubwa na kusababisha tafrani kubwa, Wema Isaac Sepetu ‘Beautful Onyinye’ na Kajala Masanja ‘K’ hatimaye wamekutana uso kwa uso (live) na kumaliza bifu lao saa chache kabla ya kuanza kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Ijumaa Wikienda limesheheni.
Manguli wawili wa Bongo Movies waliokuwa mahasimu wakubwa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na Kajala Masanja ‘K’ wakikata mauno.
NI KWENYE VUNJA JUNGU
Tukio hilo la heshima lilijiri wikiendi iliyopita nyumbani kwa staa mwenzao wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson, Mwananyamala jijini Dar ambapo baadhi ya mastaa walikuwa wakivunja jungu katika sherehe ya kumpongeza rafiki yao almaarufu kwa jina la Wise Ime aliyejifungua mtoto wa kike hivi karibuni.
...Wema na Kajala katika pozi.
KWA MARA YA KWANZA TANGU WAGOMBANE
Katika tukio hilo, mastaa wenzao walipigwa na butwaa kuwaona wawili hao wakiwa pamoja kwa mara ya kwanza tangu wagombane. miezi kadhaa iliyopita.
WALA UJANA KAMA ZAMANI
Mastaa hao walinaswa pamoja wakiwa kama kumbikumbi wakila ujana kama zamani, kitendo kilichowafurahisha marafiki zao wengine waliofika nyumbani hapo wakimpongeza Aunt kwa kuwaweka pamoja kwani tangu wapatanishwe hawakuwahi kukaa pamoja wala kula sahani moja kama walivyofanya siku hiyo.
...Wema na Kajala wakila sahani moja kwa furaha.
“Ukweli sisi tumefurahishwa na ukaribu wa hawa mashosti tuliwamisi sana kuwaona hasa kwenye shughuli kama hizi za kibao kata, leo wameshirikiana kama zamani, wamezungumza, wamecheka na kukata mauno pamoja,” alisikika mmoja wa mastaa aliyehudhuria katika shughuli hiyo.

TUZO ZA BET 2014: BEYONCE AKOMBA 3, PHARRELL, AUGUST, LUPITA WAPATA 2 KILA MMOJA

Beyonce na mumewe Jay Z wakipiga shoo wakati wa utoaji tuzo za BET 2014.
Pharrell Williams na Missy Elliot wakifungua shoo ya utoaji tuzo za BET usiku wa kuamkia leo jijini Los Angeles.
Chris Brown akifanya makamuzi wakati wa utoaji tuzo za BET 2014.
WASHINDI WA TUZO HIZO NI KAMA IFUATAVYO:
Best Female R&B/Pop Artist
Beyoncé (WINNER)
Janelle Monáe
Jhené Aiko
K. Michelle
Rihanna
Tamar Braxton

Best Male R&B/Pop Artist
Pharrell Williams (WINNER)
August Alsina
Chris Brown
John Legend
Justin Timberlake

Best Collaboration
Beyoncé f/ JAY Z – "Drunk In Love" (WINNER)
August Alsina f/ Trinidad Jame$ – "I Luv This"
Drake f/ Majid Jordan – "Hold On (We're Going Home)"
JAY Z f/ Justin Timberlake – "Holy Grail"
Robin Thicke f/ T.I. & Pharrell Williams – "Blurred Lines"
YG f/ Jeezy & Rich Homie Quan – "My Hitta"

PUMZIKA KWA AMANI

Baba yetu mpendwa Mzee Obel Benson Mwamfupe. Leo umetimiza mika tisa tangu siku Mwenyezi Mungu alipokuita kwenye makao yake. Tunakukumbuka sana kwa busara, nasaha na upendo wako kwetu. Hatujaweza kamwe kuliziba pengo ulilotuachia, lakini hekima yako na upendo uliotupa vimekuwa ni taa ya maisha yetu.
Unakumbukwa na mke wako, dada, wadogo zako, watoto, wakwe, wajukuu, vitukuu pamoja na ndugu na marafiki zako.
Ee Mwenyezi Mungu umjalie baba yetu raha ya milele. Amina

Saturday, June 28, 2014

BEN POL Ft. JOH MAKINI - UNANICHORA

MBASHA, FLORA WAPATANA


Stori: WAANDISHI WETU
HAKUNA neno zuri la kusema zaidi ya Mungu mkubwa! Ule mtafaruku ndani ya ndoa ya mwimba Injili mahiri Bongo, Flora na mumewe, Emmanuel Mbasha umedaiwa kumalizika kwa wawili hao kupatana, Risasi Jumamosi linakuwa nambari wani kukuhabarisha.
Kwa mujibu wa chanzo cha uhakika, wawili hao walikalishwa kikao cha upatanishi mapema wiki hii kilichokuwa chini ya familia.

Mume wa Flora Mbasha, Bw. Emmanuel Mbasha.
MANENO YA CHANZO
“Kikao cha familia kilikaa, Mbasha aliitwa akafika, Flora naye aliitwa akatokea, mazungumzo yalikuwa marefu lakini kimsingi waliamua kuweka kando mtafaruku wao na kuijenga upya ndoa yao,” kilisema chanzo.

Chanzo kiliongeza kuwa katika kikao hicho cha mwanzoni mwa wiki hii, miongoni mwa adidu za rejea ilikuwa kutokumbushia vikao vilivyopita ambapo hakukupatikana muafaka.
VIKAO VILIVYOPITA
Katika vikao vilivyopita, wahusika wakuu walikuwa wazazi wa Mbasha (mzee Maneno Mbasha, Zulfa Maneno), ndugu wa Flora na Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima.

Mwimbaji Injili mahiri Bongo, Flora Mbasha.

BET AWARDS NI DIAMOND TENA KESHO


Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’.
UMEKUCHA! Unaweza kusema kwa maana nyingine wakati wasanii kutoka Afrika watakapokuwa pamoja kwenye Ukumbi wa Nokia Theatre uliopo Los Angeles, Marekani katika sherehe za utoaji tuzo za BET 2014 kesho Juni 29.
Macho na masikio yote yameelekezwa kwa mtu mmoja kutoka Tanzania ambaye ni Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’.
Kupitia wimbo wa My Number One (Remix), aliomshirikisha staa kutoka pande za Nigeria, Davido, ndiyo uliompandisha chati za juu mpaka kufikia kujulikana kimataifa sambamba na kuingizwa katika tuzo mbalimbali za heshima.
Wapo wanaofurahia mafanikio yake na wengine kuchukia na kuona kama anapendelewa.
Katika makala haya yanachambua safari nzima za tuzo ambazo ameshashiriki na anazoendelea kushiriki kwa sasa;
Awashangaza Watanzania
Aliivunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na mwanamuziki Abass Hamis Kinzasa ‘20%’,  ya mwaka 2011 ambayo alijinyakulia tuzo tano kwa mpigo zilizotambulika kama Kilimanjaro Music Awards 2011.
Katika tuzo za Kilimanjaro za mwaka 2014 zilizofanyika Mlimani City jijini Dar, Diamond aliondoka shujaa kwa kujizolea tuzo saba kwa mpigo na kuweka rekodi ya aina yake huku maswali mengi yakibaki midomoni mwa watu na hata wengine wakidhani amebebwa na hakustahili kupewa tuzo hizo zote.
Atemwa tuzo za MTV MAMA 2014
Mpaka Diamond anaelekea Afrika Kusini Juni 7 mwaka huu, alionekana kama msanii anayeongoza kwa kupigiwa kura nyingi na mashabiki akiwa na asilimia zaidi ya 60. Watanzania wengi walijua ataibuka kidedea.
Wakati wa ufunguzi wa tuzo hizo alianza kwa kufanya shoo ya nguvu akiwa sambamba na mwanamuziki kutoka Nigeria, Davido. Walilivaa jukwaa na wimbo wa My Number One Remix.

WODI YA WAZAZI HOSPITALI YA MWANANYAMALA WAKABIDHIWA VIFAA

Wauguzi wa Hospitali ya Mwananyamala wakifurahi baada ya kukabidhiwa vifaa maalumu kwa ajili ya huduma ya uzalishaji.
Baadhi ya manesi wakiwa na mwakilishi wa Upendo Women's Group Belgium baada ya kukabidhi vifaa kwa ajili ya kupunguza matatizo ya kina mama wajawazito katika Hospitali ya Mwananyamala.

MZEE MAJUTO, LULU, MILLARD AYO WANG’ARA TUZO ZA WATU


Baadhi ya mastaa wote waliyojipatia tuzo wakiwa kwenye pozi la pamoja muda mfupi baada ya zoezi la utoaji tuzo kukamilika.

Miss Tanzania 2004, Faraja Kota (kulia), akimkabidhi tuzo ya Msanii Bora wa Filamu Anayependwa, Mzee Majuto.
Mtangazaji wa kipindi cha Amplifier, Millard Ayo (kushoto), akipokea tuzo ya Mtangazaji wa Redio Anayependwa Zaidi kutoka kwa Miss Tanzania 2000, Jacqueline Ntuyabaliwe.
Meya wa Ilala, Mh.Jerry Silaa (kuli), akimkabidhi tuzo ya Mtangazaji wa Runinga wa Kike Anayependwa Zaidi, Salama Jabir.
Elizabeth Michael ‘Lulu’, akitoa neno la shukurani baada ya kutwaa Tuzo ya Muingizaji Bora wa Kike Anayependwa Zaidi.

Friday, June 27, 2014

NEYMAR ATAKAVYOBEBA KIATU CHA DHAHABU


Staa wa Brazil, Neymar.
Makala
RIO DE JANEIRO, Brazil
KIULIZA washambuliaji ambao wapo ‘on fire’ kwenye michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Brazil, haraka jina la Neymar litatajwa na wengi, staa huyo wa Brazil ameshafunga mabao manne mpaka sasa katika michuano hiyo.
Kasi yake inamaanisha kuwa anaweza kuwa mfungaji bora wa michuano hiyo na kubeba kiatu cha dhahabu ambacho kinawaniwa na mastraika wengine wenye majina makubwa duniani.
Wachambuzi wa soka wanaamini kijana huyo ‘sharobaro’ anao uwezo wa kutwaa tuzo hiyo na sababu kubwa tatu zinatajwa, ikiwa ni saa chache kabla ya kuliwakilisha taifa lake katika hatua ya 16 Bora ya michuano hiyo dhidi ya Chile.

Barnaba Anasema Huyu Ndio Video Queen Wa Video Ya Wimbo Wake “Wahaladee”

bb 4 
Barnaba anajitayarisha kufanya video ya wimbo wake mpya “Wahaladee” na tayari ametangaza kuwa video Queen wa kazi hiyo mpya atakuwa Mama Steven ambaye ni mpenzi na mama mtoto wa wa msanii Barnaba
Sina la kuandika zaidi ya Asante wife kukubali kuwa Video Qwen Wangu kwenye #Wahaladee Ilove uu Verry moo much….. Sema nakulipa oky, sema sio nyingi, uwii sipati Picha apo Location … Uwiii, uwiii ,mama ndani ya shela baba ndani ya bangoooooo. “
b 1 b 2

FLORA MBASHA, KUMBUKA MAANDIKO!

MIMI ni mkristo wa dhehebu la Roma. Mafundisho mengi tunayopewa kuanzia Ubatizo, Komunyo ya Kwanza na Kipaimara, tunafundishwa kuhusu kutenda mema, kupendana wenyewe kwa wenyewe na hata kuwapenda maadui zetu.
Tunaambiwa, akija mtu akakupiga kofi shavu lako la  kushoto, wala hata usimrudishie, bali mgeuzie na upande ule wa kulia na akishakutundika hivyo vibao vyake, muombe Mwenyezi Mungu amsamehe. Tunafundishwa kusamehe, ndiyo maana katika moja ya maandiko yaliyo katika vitabu vya dini, kama Injili na Biblia, kuna mistari inayosema samehe saba mara sabini.

MZEE WA KANISA AAIBIKA!


Tumekwisha! Mzee wa kanisa la kiroho (jina linahifadhiwa kwa sasa), aliyetajwa kwa jina la Luca Pesa, mkazi wa Segerea, Dar, ameaibika baada ya kukurupushwa kwenye nyumba ya kulala wageni (gesti) akidaiwa kutaka kuvunja amri ya sita na binti ambaye ni msanii chipukizi wa filamu za Kibongo, Debora Jacob, Ijumaa lina kisanga cha aina yake.

NISHA AWABWATUKIA WANAOMWITA MCHAWI

MWANADADA kutoka kiwanda cha Filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amewabwatukia wasanii wenzake wanaomshutumu kwamba anatumia ndumba na kuwataka waache maneno hayo.

Thursday, June 26, 2014

RATIBA YA 16 BORA KOMBE LA DUNIA 2014 NCHINI BRAZIL

Picha: Shambulizi La Bomu Lilioua 21 Abuja, Nigeria

Mlipuko wa bomu uliotokea mbele ya Mall inayochukua watu wengi zaidi Abuja, Nigeria limeua watu zaidi ya 21.
Mlipuko huo umetokea jana na kuwashitua watu wengi katika eneo hilo lililo katikati ya jiji la Abuja huku vilio vya majonzi vikitawala na mamia ya watu waliokuwa wameenda kufanya manunuzi wakizungukwa na damu kama sio kupoteza maisha.
mlipuko 2
Magari yaliyokuwa mbele ya Mall hiyo yaliteketea kwa moto, na mashuhuda walieleza kuwa walikuwa wanaona vipande vya miili ya watu vikisambaa katika eneo hilo.
Ingawa hakuna kundi lolote lililodai kuhusika na shambulizi hilo, wengi wanaamini shambulizi hilo litakuwa limefanywa na kundi la Boko Haram linalowashikilia watoto zaidi ya 260 kwa sasa, tangu iwashikilie wasichana 200 mwaka huu.
mlipuko 3

Kazi Mpya Ya Msanii Anayechipukia Hero Ft Clara Pinky Na Rackie – Holy

HEEE! DOKTA AKUTWA AKIJARIBU KUMCHOROPOA MIMBA DENTI

Stori: Waandishi wetu KABAANG! Dokta mmoja aliyefahamika kwa jina la Herman amenaswa katika dispensari moja iliyopo Buguruni Kwamnyamani jijini Dar akijiandaa kumtoa mimba mwanafunzi.
Dokta Herman akitahayali baada ya tukio hilo.

FLORA AKOMBA KILA KITU


Stori: Waandishi Wetu
MACHOZI upya! Habari halali kwa ubongo wako zinaeleza kwamba wakati mumewe, Emmanuel Mbasha (32) alipokuwa mahabusu, Dar kati ya Juni 15 hadi 17, mwaka huu, staa wa Gospo Bongo, Flora Mbasha (31) anadaiwa kwenda nyumbani na kukomba vitu vya ndani kuvipeleka kusikojulikana.
Sehemu ya chumba cha kupumzikia kilichobakiwa na kochi na zulia.
Ilisemekana kwamba wakati hayo yakiendelea, Mbasha alikuwa nyuma ya nondo za Mahabusu ya Keko jijini Dar es Salaam ambako alishikiliwa.
Kwa mujibu wa mtu aliyeambatana na Mbasha alipopata dhamana dhidi ya kesi yake inayomkabili ya ubakaji wa shemejiye mwenye umri wa miaka 17, alipofika nyumbani kwake Tabata-Kimanga, Dar alipigwa butwaa kukuta hakuna vitu ndani!
Chumba kingine kilichosafishwa kabisa bila ya samani yoyote.
Habari zilidai kwamba alipowauliza majirani kama walimuona mtu akiingia ndani walimwambia mkewe (Flora) ndiye alikuwa akiingia na kutoka mara kwa mara.
Ilielezwa kuwa vitu hivyo vilihamishwa Juni 16 ambapo Mbasha alitoka mahabusu Juni 17, yaani siku moja tu.

Wednesday, June 25, 2014

WACHEZAJI WA YANGA WAKIWA MAZOEZINI COCO BEACH


Wachezaji wa Yanga wakiwa mazoezini leo kwenye ufukwe wa COCO.
Kiungo wa Yanga, Salum Telela akiwa na wenzake leo Coco Beach
Jembe jipya la Yanga likipiga matizi leo.
Kiungo wa Yanga, Nizar Khalfan akifanya mazoezi.

KUWA MAKINI NA UNACHOPAKA USONI HASA KAMA USO WAKO NI WA MAFUTA!!

MARA NYINGI WATU WENYE USO WA MAFUTA HUWA WANASHANGAA WANAPOPAKA VITU VINADUNDA HII NI SABABU USO UNA MAFUTA ALAFU UNAPAKA PRODUCT YENYE MAFUTA!!HAPO LAZIMA UTAONA VIRUSHES,VIPELE AU HATA CHUNUSI HII NI KWA SABABU NGOZI YA MAFUTA HAIPATANI NA PRODUCT YA MAFUTA!KUZUIA HII UNAHITAJI KUPAKA VITU VISIVYO NA MAFUTA(OIL FREE) AKCLASSIC TUTAKUSAIDIA KATIKA HILI!!0753482909

BATULI, MTUNISI KIMEELEWEKA

WASANII wawili wa filamu, Nice Mohamed ‘Mtunisi’ na Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ ambao walikuwa wapenzi kabla ya kuachana na mwanaume huyo kuoa, sasa wamerudiana rasmi.
Staa wa filamu Bongo Yobnesh Yusuph ‘Batuli’.

MKASA MZIMA WA WEMA AZIMIA UPO HAPA

CHUKI tu! Katika jambo ambalo limeuumiza moyo wa Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ tangu awe staa, ni ishu iliyotokea wikiendi iliyopita baada ya mtu asiyejulikana kutengeneza picha chafu ya mama mzazi wa mrembo huyo, Mariam Sepetu na kisha kuisambaza kwenye mitandao ya kijamii kitu ambacho kilimshtusha na kujikuta akipoteza fahamu (kuzimiainatoka uk.1
Diva katika tasnia ya filamu Bongo Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’.

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate