EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Tuesday, April 30, 2013

Msanii Hammer Q amdunda mkewe, Salha baada ya kumtambulisha rafiki yake wa kiume ambae ni Tx Moshi kwa mumewe Hammer Q

Hammer Q
Baadhi ya picha za mkewe baada ya kipigooooo.






Mlipuko mkubwa watokea Damascus,Syria.

Mnamo Jumatatu waziri mkuu wa Syria alinusurika kifo baada ya kutegewa bomu
Mlipuko mkubwa umetikisa katikati ya mji mkuu wa Syria, Damascus, vyombo vya habari vya serikali vimetangaza.

Kwa mujibu wa Taasisi Inayofuatilia Haki za Binadamu Nchini Syria (SOHR) yenye makao yake Uingereza, watu watano wameuawa katika mlipuko huo uliotokea katika wilaya ya kati ya Marjeh.
Haijafahamika mlipuko huo umesababishwa na nini. Milio ya risasi ilisikika katika eneo hilo mara baada ya mlipuko kutokea.

Jumatatu, wiki hii Waziri Mkuu wa Syria, Wael Al – Halqi, alinusurika kuuawa baada ya mlipuko kulenga msafara wake wa magari.
Taarifa zinasema, mlipuko huo wa sasa umetokea karibu na jengo la wizara ya mambo ya ndani.

YALIOJILI KWENYE BIRTHDAY KICK YA MTU MZIMA CHIDY BENZ@NEW MAISHA CLUB

                                                     Chidy akimlisha keki joketi
            Hapa akimlisha keki moja kati ya mafuns wake katika siku yake zakuzaliwa

Marais EAC watangaza mikakati ya uchumi bora.

Arusha.  
Mataifa ya Afrika ya Mashariki (EAC), yamekubaliana kuwa na mkakati wa pamoja kwa kukuza uchumi, kwa kutumia rasilimali ambazo zimegundulika katika nchi  hizo kama mafuta, gesi na madini.



Rais Jakaya Kikwete akiwa na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta (kushoto) na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni baada ya kumalizika kwa mkutano wa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Arusha jana. Picha na Filbert Rweyemamu

Mwenyekiti wa Marais wa nchi za Afrika ya Mashariki, Yoweri  Museven aliyasema hayo jana kwenye mkutano wa  11 wa wakuu wa Nchi za Afrika ya Mashariki uliofanyika kwenye Hoteli ya Ngurdoto mkoani hapa.


Rais Museven alisema, rasilimali zilizogundulika sasa katika nchi za Afrika ya Mashariki, zikitumiwa vizuri zinaweza kuzifanya  nchi zote za Afrika ya Mashariki kutoka katika nchi zinazoendelea kuwa nchi zilizoendelea ifikapo mwaka 2063.


Awali, Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta alisema nchi za Afrika Mashariki, pia zinaweza kuendelea kwa kasi, kama zikifufua mipango ya pamoja ya kuboresha sekta ya Miundo mbinu, ikiwamo ya  usafiri  wa reli, barabara na bandari.

Kenyatta ambaye jana ilikuwa mara yake ya kwanza kuhutubia kikao cha Marais na 

MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAREHE 30.04.2013

.
.

ALICHOANDIKA MKUU WA WILAYA YA KOLOGWE FACEBOOK KUHUSU WABUNGE WA CHADEMA.




Mitambo ya analojia Mbeya kuzimwa leo saa 6:00 usiku.

Mbeya. 
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imesema mitambo ya Analojia mkoani Mbeya itazimwa rasmi leo saa 6:00 usiku.


                                      Innocent Mungi, alisema Mkoa wa Mbeya.
Akizungumza na waandishi habari jana, Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungi, alisema Mkoa wa Mbeya umekuwa wa mwisho katika hatua za kuzima mitambo hiyo, katika awamu ya kwanza.

Mungi alisema uzimaji wa mitambo ya analojia na kuhamia katika mitambo ya Digitali katika awamu ya kwanza, ulihusisha Mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Tanga, Mwanza, Moshi na Arusha.

DC ashauri wanawake kuunda vikundi.

Mkinga. Mkuu wa Wilaya ya Mkinga, Mboni Mgaza amewataka wanawake wa Mkinga kuunda vikundi vya ushirika, ili kuweza kujikwamua na maisha pamoja na kuimarisha biashara zao na kuacha kukaa nyumbani.
 
Akizungumza katika mafunzo na wanachama wa Vikoba wa Maramba na kufadhiliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Mgaza alisema siri ya kutoka katika dimbwi la umaskini ni kujishughulisha na kazi za ujasiriamali. 

Alisema wilaya hiyo yenye mwambao wa bahari pamoja na ardhi nzuri ya kilimo cha mbogamboga na matunda ni fursa tosha kwa wajasiriamali wa kike na kiume kubuni mbinu mbadala za kujikwamua na umaskini.
 
Alisema kutokana na ufunguzi wa barabara mpya ya kiwango cha Lami Tanga, Horohoro, ni wakati wa wafanyabiashara wakubwa na wajasiriamali kutafuta masoko ya bidhaa zao katika masoko yaliyoko ndani ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki. Akizungumza katika mafunzo hayo, Mshauri Elekezi wa Masuala ya Ujasiriamali TPSF, Jane Gonsalves,alisema sekta hiyo ilifanya uchunguzi katika wilaya hiyo na kugundua wajasiriamali hawana elimu ya biashara (Salim Mohammed)

Exim watangaza neema kwa wahitimu vyuoni.

Benki ya Exim, imetangaza mpango wa kutoa nafasi za ajira zaidi kwa wahitimu kutoka vyuo vikuu mbalimbali nchini, ukiwa ni mpango wa benki hiyo katika kupanua ajira nchini.

Akizungumza katika maonyesho ya vyuo vikuu yaliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Exim, Dinesh Arora, alisema vyuo vikuu vina nafasi kubwa ya kuziba pengo la upungufu wa wafanyakazi katika sekta ya kibenki na fedha nchini.

“Baada ya kuanzishwa kwa kituo chetu cha mafunzo kinachojulikana kama Exim Academy, benki yetu sasa imeamua kuwalenga moja kwa moja wahitimu kutoka vyuoni, uzoefu hautakuwa kipingamizi kwa sababu wahitimu hao watapatiwa mafunzo muhimu mara watakapojiunga na benki yetu,” alinena mkurugenzi huyo.

Monday, April 29, 2013

MASTAA WA KIBONGO BANA… WAMEVISHWA PETE ZA UCHUMBA, NDOA ZIMEISHIA NDOTONI.

KATIKA ulimwengu huu kuna mambo mengi yanayofurahisha. Yapo pia yanayosikitisha na utapeli katika uhusiano wa kimapenzi umetamalaki.
Nimeanza na utangulizi huo nikiwa na maana kuwa katika jamii inayotuzunguka inabidi mtu uwe makini lasivyo utajikuta kwenye wakati mgumu hasa kwa wasichana wanaohitaji kuolewa.   

                            Wema Sepetu akiwa na pete aliyovishwa na Dimaond.

Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wanaume kuwarubuni wanawake wakiwadanganya kuwa watawaoa, ahadi ambazo hazitimii kwani mapenzi yao huwa yanaishia njiani kabla hawajatimiza lengo na kuwaacha wenzao katika maumivu makali.
 
 Katika ulimwengu wa mastaa wa Kibongo, ishu hiyo ndipo nyumbani kwao ambapo leo katika makala haya tutaona orodha ya wasanii ambao wamevishwa pete za uchumba lakini suala la ndoa limeishia ndotoni. Ni kama wanaota lakini wakiamka hujikuta wakijuta kuwa walikosea wapi. Kinachoonekana kwa sasa ni kwamba pete ya uchumba ni ndoano ya kumnasa mwanamke na baada ya kukidhi matwakwa humwacha bila kutimiza ahadi ya ndoa.

TANGAZO KWA WANACHUO WA KOZI YA UONGOZI WA BIASHARA MWAKA WA KWANZA WALIOSIMAMISHWA MASOMO WITO WA KURUDI CHUONI.

Makamu Mkuu wa Chuo anawatangazia wanachuo wa kozi ya BBA mwaka 1 wenye majina yao hapa chini kwamba wafike chuoni Kampasi ya Mazengo tarehe 2/05/2013, saa 2.00 kamili nje ya Bwalo la Chakula (Student Cafeteria) asubuhi ili kujibu mashitaka dhidi ya tuhuma mbalimbali za kushiriki katika mgomo haramu wa kutofanya Jaribio la somo la LW:100, tarehe 31/01/2013.
ORODHA YA MAJINA:
SNNAMEREG.NO
1
ERIC MUKAYU J 2012/1653
2
CHAWINGA HELBERT 2012/0872
3
KAVISHE LIBERATH 2012/0587
4
MMAKA REGINALD 2012/1169
5
URIOH UPENDO G 2012/0961
6
MWASHUSA JOSHUA 2012/1209
7
ELIEZA YOHANA P 2012/1260
8
BARTHOLOME LEVINA 2012/1192
9
HAMIS ABUBAKAR 2012/0555
10
MTETE REUBEN 2012/1120
11
SELEMANI HAMISI H 2012/1180
12
BONZO HAJI 2012/0550
13
MOSSES MAHUZA 2012/2140
14
THOBIAS MASUMBUKO 2012/1176
15
ELLAH CHRISTOPHER 2012/0177
16
MALECELA JACQULINE 2012/0151
17
MAPUNDA NICKSON 2012/0444
18
MTAO ALEX K 2010/1334
19
FADHILI FADHILI U 2012/0640
20
BENJAMIN DEOGRATIUS 2012/1156
21
CHIMELA RHODA 2012/0249
22
JUMA JUMA H 2012/0576
23
ROBERT MWASEGE 2012/0939
24
NAIVASHA GEORGE 2012/2102
25
YOHANA ISAYA 2012/0137
26
GILSON FRANK M 2012/1135
27
JOYCE MANYAMA 2012/0046
28
BANKANA DEOGRATIAS 2011/1697
29
BAUTI MOHAMED 2012/1235
30
ELISA EZELI 2012/2052
31
FREDRICK SENGUO 2012/1116
32
VALENCE MBAWALA 2012/2032
33
KOMBA JOSEPH 2011/1441
34
ERNEST SILVANUS G 2012/1273
35
KYENDESYA KELVIN 2012/1119
36
HASHIM DIVUNDAME 2012/0128
37
GERSON SALOME 2011/1632
38
DANIEL DICKSON 2012/0619
39
KANGUSI JANETH 2012/1236
40
KAKORE JULIETH 2012/2041
41
MOHAMED HUSSEN M 2012/0266
42
CLEOPHAS CLARENCE 2012/2027
43
JOSEPH MWASONI 2012/1195
44
MBELLE RENALD 2012/1155
45
SHAYO FELISTA 2012/2028
46
EMMANUEL MSIMU 2012/2266
47
ONDOLE JOHN P 2012/1130
48
ANITHA ANANIA S 2012/0178
49
WINNIE TONDO 2012/0443
50
SABAS MWANANDOTA 2012/1149
51
RAMADHANI RASHID 2012/0134
52
JAMES ERIC 2012/0422
53
MICHAEL ELINAMI 2012/2294
54
MBOTWA TUMAINI S 2012/1183
55
KONAH AYOUB M 2012/0237
56
MAHENDA MAKENGA 2012/0371
57
MATSINDIKO CANUTHE 2011/1362
58
DALU MESHACK 2012/1198
59
BULENGA SAMWELI 2012/0578
60
MAGODA MATHEW M 2012/0061
61
MOSHI PRAYGOD 2012/0424
62
REHEMA MBEMBA 2012/0352
63
MSOKWA DEBORAH 2012/1201
66
MABANZA RECHO P 2012/1160
67
SWABAHA HAMAD 2012/1125
68
ROBART STIVIN 2012/0471
69
ROSALIA TARIMO N 2012/0416
70
KALOLI GROLIA 2012/0084
71
SIMON MICHAEL K 2012/0497
72
MKOMBOZI MICHAEL R 2012/1139
73
KIHWELE ABIHAIL 2012/0133
74
NAVETA RAYMOND 2012/1188
75
CHENGULA ROSE 2012/0589
76
MELKIZEDECK GANDYE 2012/1113
77
KIWANGA ZUBEDA 2012/1200
78
HASSAN MARIKI 2012/0139
79
DANIEL MUEMA 2012/1645
80
DACHI FAHAD 2012/0481
81
BATESAKI ILUNGU 2012/0439
82
WIBERT NFUMBUSA 2012/1112
83
GODLISTEN WANGILED H 2012/0261
84
RUHELE ALLEN E 2012/2147
85
LUTANJUKA ERNEST 2012/0394
86
JOHN BENNY 2012/1186
87
LYIMO IMMACULATE 2012/0591
88
PATRICIA URASSA 2012/1164
89
PRISCA URASSA 2012/1143
90
KITOSI DAUDI E 2012/1185
91
KANUTI SHEDRACK D 2012/1193
92
NTIBILABA CHARLES 2012/1228
93
PAULINE VALENTINE M 2012/0520
94
JOEL NASHON 2012/1129
95
KACHENJE KASSIM O 2012/1203
96
GWENO MASERO M 2012/1133
97
ALLAN MREMA 2012/2325
98
AGATHON JUMA 2011/1614
99
AMOS SAMSON 2012/1184
100
KIYANGA BENEDICT 2012/0258
101
PASTORY RESPICIUS 2012/0575
102
GODLOVE ELIKANA 2012/0930
103
PAMELA KINDI 2012/2172
104
LYIMO ALLAN 2012/1173
105
MAKALI EMMANUEL 2012/2037
106
JAMES SUZAN 2012/0125
Tangazo hili limetolewa na;

Makamu Mkuu wa Chuo
St John’s University of Tanzania,
P.O. Box 47,
Dodoma, Tanzania
Tel: +255-26-2390044    Fax: +255-26-2390025
Email: admissions@sjut.ac.tz, Website: www.sjut.ac.tz

TASWIRA MBALI MBALI KATIKA JIJI LA ARUSHA BAADA YA KUACHIWA KWA MBUNGE MH GOBBLESS LEMA.

                                                PICHA ZOTE  NA 2JIACHIE
OLYMPUS DIGITAL CAMERA

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

MBUNGE WA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA ACHIWA KWA DHAMANA

Leo mbunge wa Arusha mjini kwa tiketi ya chama cha chadema Godbless Lema ameachiwa kwa dhamana mashariti yalikuwa si mazito sana baada ya kutoa sh 1,000,000/= na kuonyesha kitambulisho.
Wadau wengi wa chadema wameweza kujitokeza kwa wingi mahakamani siku ya leo ,
Mpaka sasa Wananchi wa Arusha wanaelekea katika ofisi ya chadema wakiwa na mabango yakisomeka Mkuu wa mkoa wewe umechaguliwa na kikwete na  Lema ni wa kwetu.
Mbunge akiwa kizimbani

PICHA 3 ZA MITINDO ZA JENNIFER LOPEZ.

Jennifer Lopez and Casper Smart
                           Younger man ... Jennifer cuddles up to Casper
Jennifer Lopez
                                                              Flawless ... Jennifer
Jennifer Lopez
Age-defying ... the 43-year-old singer looks far younger than her years

KASHIFA HAIMTOI MSANII – MARIAM ISMAIL.

MARIAM Ismail mwigizaji wa filamu anasema kuwa umaarufu kwa msanii si lazima ajengwe kwa kuandikwa kashifa katika vyombo vya habari bali ni kuitendea haki filamu anayochaguliwa kama ambavyo yeye anaamini anafanya hivyo katika filamu anazocheza kila anapochaguliwa jambo ambalo hivi sasa kila mtayarishaji anahitaji kufanya kazi naye kwa sababu anajua.
                                             Mariam akiwa katika pozi la kikazi.
“Binafsi sihitaji scandle ili niwe maarufu bali ninachofahamu ni uwajibikaji katika kazi ninayopewa na mtayarishaji wa filamu husika, ninachohitaji ni kusoma muswada wa filamu (Script) vizuri kisha
kuvaa uhusika kulinga na nafasi nitakayopewa kuigiza mara nyingi wasanii tunahitaji hisia, hicho ndicho ninachofanya katika filamu zote nilizoigiza na kunifanya niwe bora,”anatamba Mariamu.
Msanii huyo ambaye anafanya vizuri katika tasnia ya filamu Swahiliwood ameshiriki katika filamu
Endelea kusoma kwa kubofya...Read more..

Arsenal yaibana Man United.

Ligi kuu soka nchini Uingereza imeendelea kwa michezo mitatu iliyopigwa kwenye viwanja vitatu tofauti jijini London jumapili hii.

                                              Theo Walcot akipambana na Evra.

Manchester United ambao ni mabingwa wa ligi hiyo msimu huu, Hii leo walikuwa wageni wa Arsenal kwenye uwanja wa Emirates Kaskazini mwa london,

Theo Walcot alianza kuifungia Arsenal bao la mapema kabisa dakika ya pili ya mchezo huo ambao BBC ulimwengu wa soka ilikuwa ikuutangaza moja kwa moja.

United walio chini ya Sir Alex Ferguson walionekana kutokuwa kwenye kiwango chao kama mabingwa baada ya kuanza mchezo huo kwa kufanya makosa mengi, na kujikuta wakipewa kadi nne za njano ndani ya dakika 30 za mchezo huo.

Aliyemiliki jengo liloporomoka akamatwa.

Jeshi la Bangladesh linajitayarisha kutumia zana nzito kuondosha kifusi katika jengo la viwanda liloporomoka Jumatano na kuuwa mamia ya watu.
Waokozi wanatoboa shimo kwenye saruji kutafuta manusura

Wafanya kazi za uokozi wanatoboa shimo kwenye kifusi kujaribu kuwafikia haraka manusura walionasa wakati jengo hilo lilipoanguka.

Baadhi ya waokozi wameondolewa kwa sababu hawakuweza kuhimili uvundo mkali wa maiti zilizooza ndani ya kifusi.

Watu 2400 wamenusuriwa tangu jengo hilo la ghorofa nane kuporomoka mjini Dhaka.
Zaidi ya watu 360 wanajulikana kuwa wamekufa.
Msemaji wa jeshi la Bangladesh, Brigadier General Siddiqul Alam Sikder, alisema hawataondoa kifusi kwa sasa, ila katika kusaidia kumuokoa mtu:

"Hatutaondoa chochote hadi tuna hakika kwamba hakuna mtu aliye bado hai ndani ya kifusi.
Makundi yote yanayofanya uokozi chini ya kifusi yatatuarifu.
Tukipata taarifa hiyo, tutakutana kuamua kama tutaingia kwenye kifusi, au tunyanyue paa kwa crane.
Kisha tutaingia kipindi cha pili cha operesheni."

FILAMU INALIPA KULIKO UTANGAZAJI- IRENE PAUL.

MWIGIZAJI wa kike Irene Bahati Paul anayefanya vinzuri katika tasnia ya filamu Bongo amedai kuwa ameachana na kazi ya utangazaji baada ya kubaini kuwa filamu inamlipa kuliko fani ya utangazaji aliyekuwa akifanya na kubaini kuwa maslahi kwake ni madogo tofauti na alipojiunga na uigizaji kwa muda mfupi tu faida kaiona.
                                                              IRENE PAUL
Kwangu mimi filamu inanilipa na imekuwa nimeamua kuachana na kazi nyingine zote ili niwe makini na kazi ya uigizaji ambayo naona maslahi ya moja kwa moja na ni kazi ambayo ninaipenda sana imenikutanisha na watu mbalimbali marafiki pia imebadilisha maisha yangu napata ninachohitaji bila wasi wasi,”anasema Irene.


Irene alianza kutangaza katika televisheni ya C2C na baadae Clouds Tv na kuachana na kazi hiyo ya utangazaji kuingia katika uigizaji baada ya kukutana na Ray na kupewa nafasi ya uigizaji, msanii huyo pia amewashukru Zamaradi Mketema kwa kumshauri kuingia katika uigizaji kwani aliona kipaji chake.

David Beckham apewa kadi nyekundu ya kwanza PSG dakika 10 baada ya kuingia uwanjani.

David Beckham kiungo mahiri wa PSG alikutwa na majanga hayo dakika ya kumi ya baada ya kuingia uwanjani.Hata hivy timu yake ilishinda 1-0 Evian 1-0.Bao la PSG liliwekwa kimiani dakika ya 50 na Javier Pastore.

Sunday, April 28, 2013

Chadema kinafanya utaratibu wa kumfungulia mashitaka Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mkoa wa Arusha (Chadema) kinafanya utaratibu wa kumfungulia mashitaka Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo, dhidi ya kauli zake za uchochezi kwa chama hicho na vitisho kwa Mbunge Godbless Lema ambaye kwa sasa anashikiliwa na Polisi.

Akizungumza na vyombo vya habari jana, Katibu wa chama hicho, Amani Golugwa, alisema tayari wameanza kufuata taratibu za kumfikisha kwenye vyombo vya sheria na karibu wanakamilisha kupitia wanasheria wao wa chama.

Golugwa alisema Mulongo amekuwa kikwazo kikubwa kwa kuwa si mara ya kwanza, kutoa lugha za uchochezi dhidi ya Chadema na kumtuhumu Lema kwa uongo, hali ambayo hadi kwenye mauaji ya chuo cha Uhasibu ilijitokeza.

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI TAREHE 28/4/2013






PAROKO wa Kanisa Katoliki Parokia ya Ifunda, Padri Alphonce Mhamilawa, amefariki dunia katika ajali mbaya ya gari iliyotokea katika eneo la Sabasaba, Mafinga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa.

PAROKO wa Kanisa Katoliki Parokia ya Ifunda, Padri Alphonce Mhamilawa, amefariki dunia katika ajali mbaya ya gari iliyotokea katika eneo la Sabasaba, Mafinga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa.

Mashuhuda walieleza kuwa ajali hiyo ilitokea saa nane usiku wa kuamkia jana wakati paroko huyo akitoka mkoani Njombe katika shughuli ya mazishi.

Mmoja wa mashuhuda hao, Saugo Ndemo, alisema kuwa paroko huyo alikuwa akiendesha gari dogo aina ya Toyota Hilux (Pick Up) lenye namba za usajili T 434 APP mali ya Kanisa Katoliki Parokia ya Ifunda.

MAMBO 10 YANAYOSABABISHA MWANAMKE KUSALITI.

Usaliti ni kitu kibaya sana. Ni matokeo ya ukosefu wa ubinadamu. Ni kwenda nje ya makubaliano ya kimsingi. Ni uamuzi wa mtu kushusha thamani yake mwenyewe. Ni kujidhalilisha kwa makusudi. Ni kujionesha mbele ya umma kwamba wewe hufai, huaminiki.
Aya hiyo, ikupe mantiki kuwa msaliti siyo binadamu. Sasa basi, endapo utaamua kufanya hivyo, ujijue kwamba unajidhalilisha na unajipa sifa mbaya mbele ya jamii. Kwamba unajipeleka kwenye ukurasa ambao kila atakayekusoma, atakutafsiri kuwa hufai, kwani huna maana.
Kwa nini watu wanasaliti? Hapa nieleze kuwa usaliti ambao naujengea hoja siyo ule wa kuchukua maneno upande mmoja na kupeleka sehemu nyingine, la hasha! Namaanisha vitendo vya kumchepuka mwenzi wako. Yaani unakwenda kufanya mapenzi nje ya ndoa au kuhusika na mtu tofauti na mchumba au mpenzi wako anayekubalika.
Usaliti unasababishwa na vitu vingi lakini kikubwa ni tamaa. Inawezekana ikasababishwa na hulka ya kutaka kuwa na wengi au kuvutwa na fahari ya macho. Umemuona, akakuvutia kisha ukataka uone ndani pakoje. Huu ni ulemavu mkubwa sana unaotawala vichwa vya wengi.

KUTOKA INSTRAGRAM:ALICHOKISEMA WEMA SEPETU BAADA YA GAZETI KUANDIKA ANA BEEF NA LULU.


Watu 30 wavamia, kuvunja nyumba.

Dar es Salaam:
 Zaidi ya watu 30 usiku wa kuamkia jana walivamia na kuivunja nyumba ya Yasinta Malisa, iliyopo Kunduchi Ununio ,kando ya Bahari ya Hindi, huku wakimtishia kwa bastola mlinzi wa nyumba hiyo.

Kutokana tukio hilo Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Charles Kenyela, amemtaka mmiliki wa nyumba hiyo kuwasilisha vielelezo vya umiliki wa eneo hilo polisi.
Hatua hiyo inalenga katika kuwawezesha polisi kuvipitia na kumpa ushauri wa ama kwenda mahakamani au kumkamata anayeshukiwa kubomoa nyumba hiyo.

“Wanatakiwa kuwasilisha vilelezo vya umiliki wa eneo hilo, lakini pia inaonyesha kuwa kuna mgogoro katika eneo husika. Vielelezo ndivyo vitaonyesha kila kitu na tutajua wapi kuna tatizo,” alisema Kenyela.

Wafu wanavyofukuliwa, kisha kuzikwa wapya.

Siku zote tunaamini kuwa mtu anapofariki hupumzika kwa amani, lakini siku hizi wafu hao hawapumziki tena kwa amani, bali huamshwa, kisha, wafu wengine kushika nafasi zao.


Ni kama vile muda wa marehemu hao kukaa kaburini umekwisha hivyo, nafasi zao zinatakiwa kutumiwa na wengine kutokana na uhaba wa maeneo ya kuzikia.
Maeneo mengi ya kuzikia katika Jiji la Dar es Salaam, hasa yale maarufu kama Kinondoni, Sinza, Temeke na Kisutu yanapendwa zaidi na watu na sasa yamefurika.

Kujaa kwa maeneo haya ya kuzikia kumesababisha makaburi ya watu wengine, kufukuliwa kisha kutumika kuzikia miili mingine.
Hata hivyo, makaburi ambayo hufukuliwa ni yale ambayo hayajajengewa, yametelekezwa, hayana kitu chochote cha kuonyesha kuwa kuna kaburi pale au mengine hayana alama kama misalaba au imeondolewa.

Msemaji wa Manispaa ya Kinondoni, Sebastian Kaiohela anasema kuwa anafahamu kwamba makaburi hayo yamejaa, lakini hakutaka kuzungumza zaidi akitoa ahadi kuwa siku ya Jumatatu atalifikisha suala hilo kwa wahusika wakuu.

Katika makaburi ya Temeke Chang’ombe, Mwananchi Jumapili lilishuhudia makaburi yakiwa yamesongamana kiasi ambacho ni vigumu mtu kupata nafasi ya kuweka mguu.
Mlinzi wa makaburi hayo, Athuman Mtembwe anasema kutokana na ufinyu wa nafasi katika makaburi hayo, makaburi ambayo hayana alama yoyote ni rahisi kufukuliwa na kuzikiwa kwa mara nyingine.

Mambo matatu aliyohojiwa Lema Polisi

Arusha:
Kushikiliwa kwa Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema kumeendelea kuibua sokomoko baina ya polisi kwa upande mmoja na wafuasi wa Chadema na familia yake kwa upande mwingine.
Lema aliyekamatwa usiku wa manane kuamkia Ijumaa wiki hii, alihojiwa kwa saa tatu mfululizo katika Kituo Kikuu cha Polisi, Arusha lakini alinyimwa dhamana kwa maelezo kwamba kuachiwa kwake kungehatarisha amani.
Akizungumza na gazeti hili kabla ya kujisalimisha kwa askari hao usiku huo wa kuamkia juzi, Lema alithibitisha kuwapo kwa polisi nje ya nyumba yake:

“Wapo nje ya nyumba yangu, wanatishia kupiga mabomu kama nisipotoka nje, lakini wanajadiliana na walinzi wangu na mimi nimewataka wanipe hati ya kunikamata,”alisema.
Wakili wa Lema, Humphrey Mtui alisema mahojiano ya mteja wake na polisi yalidumu kwa zaidi ya saa tatu kuanzia saa 7:50 mchana hadi saa 11:15 jioni, na kwamba walitaka ufafanuzi kwenye hoja tatu walizodai kwamba zilijengwa kwenye kauli alizotoa Lema wakati alipokuwa akizungumza na wanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA).

REDDS MISS DAR INDIAN OCEAN‏ WATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS.

Washiriki wa Redds Miss Dar Indian Ocean 2013 wakiwa katika picha ya pamoja wapotembelea Ofisi za Global Pulishers zilizopo maeneo ya Bamaba-Mwenge, Dar Jana
Washiliki wakiwa na Mhariri wa Gazeti la Championi Ijumaa, John Joseph

Saturday, April 27, 2013

ASNATH KUTOKA CHUO KIKUU MZUMBE ATWAA TAJI LA REDD'S MISS HIGHER LEARNING MOROGORO 2013.


Mshindi wa Shindano la Redd’s Miss Higher Learning Mkoa wa Morogoro, Anitha Mwakitwange kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe akipunga mkono mara baada ya kuvikwa taji hilo usiku wa kuamkia jana katika shindano lililofanyika Mjini Morogoro. Anitha aliwashinda warembo wenzake 10 aliokuwa akiwania nao taji hilo.
 
Redd’s Miss Higher Learning Mkoa wa Morogoro, Anitha Mwakitwange(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Rosemary Aloyce (kulia) na Mshindi wa Tatu Tarchisic Mtui mara baada ya warembo hao kutawazwa kuwa ndio washindi wa Shindano hilo usiku wa kuamkia jana katika shindano lililofanyika Mjini Morogoro. Anitha ambaye ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Mzumbe aliwashinda warembo wenzake 10 aliokuwa akiwania nao taji hilo.

 Majaji wa shindano hilo wakiwa tayari katika meza yao kusubiri washiriki wa Redd's Miss Higher Learning Morogoro kupanda jukwaani kuwania taji hilo.
 Mashabiki na wapenzi wa Sanaa ya Urembo kutoka Mkoa wa Morogoro na wengi wao wakiwa ni wanafunzi kutoka Vyuo vya Mzumbe, SUA, Jordan, St Joseph na MSJ wakisubiri kuanza kwa shindano hilo la Redd's Miss Higher Learning 2013.

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate