Baadhi ya viongozi na wananchi wa mkoa wa Rukwa na Mpanda wakimsindikiza kuapanda ndege
msanii wa taarab na malkia wa mipasho Tanzania ''Khadija Omar kopa''
kwenye uwanja wa ndege wa mpanda baada ya kupewa taarifa ya kufiwa na
mumewe Jafari Ali Yussuf aliyefariki Dunia leo alfajiri kutokana na
ugonjwa, Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye Maadhimnisho ya siku ya
Mazingira Duniani kitaifa yaliyoadhimishwa Namanyere Mkoani Rukwa jana.
Mkuu wa
mkoa Rukwa Eng. Stalla Manyanya (kushoto) akimfariji msanii na taarab na
malkia wa mipasho Tanzania,Khadija omar Kopa alipokua kwenye chumba
maalum cha kupumzikia wageni kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda baada ya
kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe
Jafari Ali Yussuf aliyefariki Dunia leoa alfajiri kutokana na ugonjwa,
Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye maadhimisho ya siku ya mazingira
Duniani kitaifa yaliyoaadhimishwa Namanyere Mkoani Rukwa jana.
No comments:
Post a Comment