Wakazi wa Ndaga
wilayani Rugwe wamefunga barabara ya Mbeya-Rungwe na geti la ushuru wa
mazao kwa saa nne, na kuchoma ofisi husika kwa madai hawaioni faida ya
kuwepo geti hilo kwani limejaa rushwa tupu na unyanyasaji wa Wakulima.
Fuatilia habari kamili kwenye blogu ya Mbeya Yetu (kwa picha zinazoonekana hapa).
Fuatilia habari kamili kwenye blogu ya Mbeya Yetu (kwa picha zinazoonekana hapa).
Ofisi ya ushuru wa mazao imechomwa moto
No comments:
Post a Comment