
Jengo
la Ghorofa lililopo mitaa ya Kariakoo na Livingstone, jijini Dar es
Salaam, likiwa limeshika moto leo mchana kutokana na sababu ambazo
hazijajulikana mara moja. Chumba kimoja kilichokuwa na chupa kibao za
manukato kimeteketea. (Picha na Emmanuel Ndege via Francis Dande).
No comments:
Post a Comment