
Washiriki wa warsha ya wapiga
picha kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa katika
picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa EAC anayeshughulikia Shirikisho
la Kisiasa Dr Julius Rotich (aliyeketi wa pili kushoto) mjini Arusha
jana. Kushoto kwake ni Kaimu mkuu wa mpango wa EAC-GIZ and kulia ni Mkuu
wa Idara ya Habari EAC Owora Othieno. Kulia kabisa aliyesimama ni
mratibu wa mafunzo wa EAC Sukhdev Chhatbar. (picha: Mroki Mroki)
No comments:
Post a Comment