
Warembo wanao wania tajhi la Redds Miss Kanda ya Mashariki 2012 wakiwa katika picha ya pamoja katika kambi yao uliyoanza jana katika
eneo la nane nane mnje kidogo ya mji wa Morogoro. Warembo hao
wanataraji kupanda jukwaani katika Hoteli ya kisasa ya Nashera iliyopo
mjini Morogoro Septemba 1, 2012 kuwania taji hilo linaloshikiliwa na
Miss Sports Woman, Loveness Flavian.

Mratibu
wa shindano la Redds Miss kanda ya Mashariki 2012, kutoka Kampuni ya
Nepa Production & Events, Alexandra Nikitasi akizungumza na warembo
ha oleo wakati wa mazoezi yao ya asubuhi.

Washiriki
wa Redd’s Miss Kanda ya Mashariki wakifanya mazoezi ya kucheza show
katika kambi yao iliyopo Usambara Safari Lodge nje kidogo ya mji wa
Morogoro.
No comments:
Post a Comment