
Habari
  zilizosambaa kupitia mitandao ya kijamii kuwa mkongwe wa muziki wa 
jadi  visiwani Zanzibar Bi. Kidude amefariki dunia si za kweli MO BLOG  
imezungumza na watu wa karibu ambao wamesema kwamba Bi. Kidude bado  
anavuta pumzi na amelazwa katika hospitali ya Hindu Mandal iliyopo  
visiwani humo.
Irene Mwamfupe Jamii blog tunapenda kwanza tufatilie kwa makini vyanzo vyote vya habari hii tutawajulisha badae vizuri.Asanteni na poleni kwa usumbufu. 
CHANZO:MO BLOG 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment