GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndullu 
akiongea na waandishi wa habari  jijini Dar es salaam kuhusu masuala 
mbalimbali ikiwemo mfumo wa mawakala wa Benki hiyo wa kununua dhamana za
 Serikali na hati fungani kwa njia ya mtandano(online) kwenye mnada na 
hivyo kupunguza ule utaratibu wa dhamana wa kupeleka karatasi katika 
Benki ili kupata huduma hiyo.

No comments:
Post a Comment