Lori lenye namba za usajili T 229 AVP
jana lilipata ajali mpakani mwa mkoa wa Njombe na Ruvuma na kujeruhi
dereva na msaidizi wake
|
| Lori hilo lilikuwa limebeba shehena ya mbolea kwenda mkoani Ruvuma
Majeruhi akiwa amebanwa ndani ya gari
|
| Moja kati ya wasamalia akijaribu kumtoa dereva aliyekandamizwa ndani ya gari bila mafanikio. |
No comments:
Post a Comment