Kwa miaka miwili mfululizo Daimond amekuwa ni mshindi wa Tuzo za Nzumari
 kama Best Male Artist kutoka Tanzania.

Tuzo hizo hufanyika kila mwaka 
huko Mombasa.Baadhi ya washindi wengine ni kutoka Nairobi ambapo Tuzo ya
 Msanii bora wa kiume Nairobi imeenda kwa Octopizo, na ya msanii wa Kike
 kutoka Nairobi imekwenda kwa Muthoni da Drama Queen.
                                                      
Hongera sana kwa Daimond.
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment