MKALI wa movie za kibongo, Salma Jabu Nisha ni miongoni mwa warembo walioitwa kuinoigesha video ya wimbo mpya wa Diamond “Nataka kulewa”

Kwa mujibu wa chanzo chetu kilichokuwepo katika hatua za uchukuaji picha , Nisha ameitendea haki video hiyo ambayo inatengenezwa na I View Media.
Chanzo hicho kimeongeza kuwa tayari uchukuaji wa picha umekamilika na sasa ipo katika hatua za uhariri (editing).
Miongoni mwa sura zingine zitakazoonekana katika video hiyo ni pamoja Esma Khan ambaye ni dada wa Diamond na Halima Kimwana.
Chanzo cha habari na saluti5 www.saluti5.com
No comments:
Post a Comment