Marehemu 
Mary Shabani Kachua (3 Yrs) enzi za uhai wake.
Familia 
ya Dr Shabani Kachua kutoka Canada inasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao 
mpendwa Mary Kachua  kilichotokea tarehe 19/11/2012 nchini Canada. 
Mwili 
wake uliagwa jana York Funeral Home, Fredericton, NB. Canada na leo kutakuwa na 
misa maalum Symthe Cathedral Church, Fredericton, NB, Canada. 
Familia 
ya Dr S. Kachua wataondoka leo Canada kuelekea  Jijini Dar es salaam Tanzania 
kwa ajili ya kuupokea mwili na  wanatarajiwa kufika  kesho jumapili  saa 7:30 
Mchana kwa ndege ya  Ethiopia Airlines.
Mwili 
wa marehemu Mary Kachua unatarajiwa kufika siku ya Jumatano tarehe  28/11/2012 
kwa ndege ya  KLM. Shughuli na taratibu za mazishi zinatarajiwa kufanyika 
nyumbani Tanga mjini.
Kwa 
mawasiliano zaidi ya taratibu zote za mazishi unaweza ukapiga namba: 
+255 
784 670866
+255 
713 254553
Mwenyezi 
Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi.
Amen
Chanzo cha habari na josephatlukaza.blogspot.com 

No comments:
Post a Comment