Unajua kuwa Tanzania inaidadi kubwa zaidi ya watu wazima wanaokojoa vitandani kuliko kenya na hata Uganda? Via saluti5-www.saluti5.com

Tanzania ina watu wazima vikojozi, laki 5 ! Kenya inafuata karibu kabisa kwa kuwa wanaume na wanawake laki laki 4.
Wanasayansi wanasema tatizo hilo la watu wazima kukojoa ni kubwa na linasumbua wengi lakini kwa sababu ni jambo la aibu wengi hawataki kulijadili.
Kuna mameneja wabunge na hata mawaziri ambao ni vikojozi
Takwimu zinasema kwamba katika kila watu wazima 100, mmoja wao ni kikojozi.
hivyo nchini ikiwa na idadi ya watu milioni 50 kama Tanzania, basi jua kuwa watu wazima laki 5, yaani watu nusu milioni wanaokojoa wakiwa usingizini.
Jee unajua kuwa nchini uingereza kuna chama cha vikojozi? Watu wazima wanaokojoa wakiwa usingizini mjini London wameanzisha chama kinachoitwa The Bladder And Bowel Foundation.Kutoka BBC.
No comments:
Post a Comment