Meza Kuu ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete (wa nne kulia) wakati Mkutano Mkuu wa Nane wa NEC - CCM ukiendelea ndani ya Ukumbi wa Kizota mjini Dodoma jana.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akiongoza Mkutano Mkuu wa Nane, katika Ukumbi wa Kizota mjini Dodoma jana.
Picha zote na www.ccmchama.blogspot.com


No comments:
Post a Comment