VILIO, SIMANZI VYATAWALA MSIBA WA JOHN STEVE MAGANGA.
Wasanii wa filamu wakiingiza mwili wa Maganga nyumbani kwao Mwananyamala A.
Mwili wa marehemu ukiwa ndani ya jeneza.
Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye, akiteta jambo na rais wa wasanii wa filamu.
Padri Evodius Miku wa Parokia ya Mwananyamala akinyunyiza maji ya baraka kwenye jeneza.
Dada wa marehemu, Janeth (katikati) akilia kwa uchungu. Baba wa marehemu, Stephano Maganga (kulia), akiwa na uso wa huzuni.
Waombolezaji wakifuatilia tukio hilo.
ILIKUWA ni simanzi kubwa kwa wasanii
nchini waliofika kwenye msiba wa msanii wa filamu, John Steve Maganga,
kwa ajili ya kutoa heshima zao za mwisho. Maganga aliaga dunia
Jumamosi iliyopita na maziko yake kufanyika leo katika makaburi ya
Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo watu wengi walihudhuria. NA HARUNI SANCHAWA, GPL
No comments:
Post a Comment