Vyombo vya habari vya serikali vinasema kuwa bwana, Li Junwen, alipata watoto wanne na mke wake wa kwanza na tayari alikuwa ameishi na wanawake wengine watatu ambao alipata nao watoto waliosalia.

Wazazi wanaruhusia tu kupata mtoto mmoja nchini China.

Mwandishi wa China Ma Jian aliyeandika kitabu kinachoelezea mateso wanayopitia wanawake wa China chini ya sheria ya mtoto mmoja
Maafisa wanasema anachunguzwa kwa kosa hilo ingawa kusheria haileweki uhusiano aliokuwa nao na wanawake hao.
China inaruhusu tu wazazi kuwa na mtoto mmoja la sivyo walipe faini kwa serikali kila mtoto wa ziada.
Inajulikana kuwa wanawake wengi nchini China hulazimishwa kutoa kimba zao wanapojulikana kuwa na mbimba ya pili.Via BBC SWAHILI.
No comments:
Post a Comment