 |
| Mwenyekiti wa zamani wa Bongo Movies JB akimpongeza Jackline |
 |
| Kutoka kushoto ni Chiki Mchoma, Ray na Jack Wolper |
 |
| Irene Uwoya na Chiki |
Hivi karibuni Bongo Movies ilipata viongozi wake wapya katika uchaguzi uliofanyika Leaders Club jijini Dar es Salaam.
Viongozi
wapya waliochaguliwa ni pamoja na Vincent Kigosi aliyechaguliwa kuwa
Mwenyekiti Mkuu, Irene Uwoya -Makamu wa Mwenyekiti , Chiki Mchoma Katibu
Mkuu, Single Mtambalike aka Richie Richie alichaguliwa kuwa Mtunza Fedha
Mkuu na Makamu wake kuwa Jackline Wolper.
No comments:
Post a Comment