 Rais 
 Jakaya Mrisho  Kikwete akihutubia mkutano wa wakuu wa nchi za Umoja wa 
Afrika Wanachama wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) 
baada ya kuwasilisha ripoti ya Tanzania usiku wa kuamkia Januari 27, 
2013 katika makao makuu ya nchi za Afrika jijini Addis Ababa.
 Rais 
 Jakaya Mrisho  Kikwete akihutubia mkutano wa wakuu wa nchi za Umoja wa 
Afrika Wanachama wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) 
baada ya kuwasilisha ripoti ya Tanzania usiku wa kuamkia Januari 27, 
2013 katika makao makuu ya nchi za Afrika jijini Addis Ababa. Rais  Jakaya Mrisho Kikwete  na ujumbe wake wakitoka nje ya ukumbi 
baada ya kuhutubia mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika Wanachama
 wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) baada ya 
kuwasilisha ripoti ya Tanzania usiku wa kuamkia Januari 27, 2013 katika 
makao makuu ya nchi za Afrika jijini Addis Ababa.
 Rais  Jakaya Mrisho Kikwete  na ujumbe wake wakitoka nje ya ukumbi 
baada ya kuhutubia mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika Wanachama
 wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) baada ya 
kuwasilisha ripoti ya Tanzania usiku wa kuamkia Januari 27, 2013 katika 
makao makuu ya nchi za Afrika jijini Addis Ababa.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete (wa nane toka kulia) akiwa na viongozi 
wenzake katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa 18 
wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Januari 27, 2013.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete (wa nane toka kulia) akiwa na viongozi 
wenzake katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa 18 
wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Januari 27, 2013.(PICHA NA IKULU)
 
No comments:
Post a Comment