Ni siku 40 zimepita tangu tasnia ya filamu ipate pigo la kuondokewa
na msanii mwenzao, Juma Juma Kilowoko ‘Sajuki’ ambapo leo ilikuwa ni
siku ya hitma yake iliyofanyika nyumbani kwake Tabata- Bima, Dar.
Mke wa Sajuki, Wastara (katikati) akisoma dua
...waumini wakisoma dua
...shehe akitoa mawaidha kwa waumini
....waumini wakipata swadaka mara baada ya dua
...waumini wa kiume wakidhikri wakati wa dua
...waumini wa kike wakidhikri wakati wa dua
No comments:
Post a Comment