
“Nawashukuru sana jamani, bethidei yangu ilikuwa baab’kubwa hivyo asanteni wote,” aliandika Millen mtandaoni.Katika pati hiyo, watu walijiachia kwa misosi kiwango, vinywaji vya bei mbaya na kuserebuka muziki huku wakishindwa kuamini kama ni mrembo huyo aliyeamua kuangusha sherehe hiyo.



No comments:
Post a Comment