Miss
Utalii Tanzania 2012/13 wiki ijayo wataanza ziara ndefu ya kutembelea
Hifadhi za Taifa na vivutio vya utalii katika mikoa ya Dar es Salaam,
Morogoro, Mtwara,Lindi na Pwani.
Vivutio
hivyo ni pamoja na Hifadhi za Taifa za Mikumi, Udizungwa, Saadani,
Selous, pia maeneo ya kihistoria ya Bagamoyo, Amboni, Kijiji cha
makumbusho,Makumbusho ya Taifa, Pugu sekondari,maeneo mengine ni ufukwe
wa kigamboni, soko la kimataifa la magogoni, uwanja wa taifa,
J.K.Nyerere Air Port, Soko la kariakoo, mashule ya sekondari na msingi.
Pia
watatembelea manispaa za ilala, temeke na kinondoni ambapo watakutana
na viongozi wakuu wa wilaya, mikoa, na wabunge katika majimbo ya mikoa
hiyo.
No comments:
Post a Comment