Baada ya mkuu wa mkoa kufika chuo cha uhasibu Arusha,alishindwa kuongea
na wanafunzi hao kwa madai kwamba hawezi kuzungumza bila kipaza sauti.
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema akiwa na wanafunzi wa chuo cha Uhasibu.
Mkuu wa mkoa mwenyewe anaitwa kwenye tukio anakuja kama kwenye send-off wakati kaitiwa msiba " Ni maneno ya mbunge wa jimbo
la Arusha bwana Godbless Lema.
Lema amesikika akisema "Mkuu huyo wa
mkoa amekuja si kwa ridhaa yake, bali ni cheo tu kimemleta hapa"
Wanafunzi wa chuo hicho kwa sasa hawataki kusikia lolote ni maandamano
tu wanataka.
No comments:
Post a Comment