Wachezaji
wa Azam FC wakipata chakula cha mchana katoka hoteli ya Golden Tulip
leo, Rabat, Morocco ambako wapo tangu Jumatatu kwa ajili ya mchezo wa
marudiano, Raundi ya Tatu Kombe la Shirikisho Afrika keshokutwa mjini
hapa.
|
Chakula kitamu utajua tu; John Bocco anajilamba vidole |
|
Ni kujipimia; Brian Umony kushoto na Waziri Salum kulia |
|
Uhondo; Abdi Kassim 'Babbi' akila kwa raha zake |
|
Kocha
Muingereza, Stewart Hall akijadiliana mambo na Mratibu wa Azam katika
mashindano ya Afrika, Florian Kaijage jana Golden Tulip |
|
Mbunifu;
Msemaji wa Azam FC, Jaffar Iddi kulia akiwaonyesha blog ya BIN ZUBEIRY
wachezaji wa Azam FC kupitia simu lake la hatari la Galaxy SII |
|
Mtu na kaka yake; Bin Zubeiry na Kaijage Golden Tulip |
|
Mkono wa Sure Boy; Picha hii imepigwa na Sure Boy...jamaa si soka tu, ana ujuzi mwingi |
No comments:
Post a Comment