EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Sunday, September 1, 2013

Viongozi watoa ushuhuda Kulola alivyowasaidia.

Dar es Salaam.
 Ibada ya kuaga mwili wa Askofu Mkuu wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania(EAGT), Dk Moses Kulola (83) ilichukua sura mpya baada ya viongozi kadhaa wa Serikali nchini, kufunguka na kutoa siri za mafanikio yao kwa maombi yake ikiwemo kupata uwaziri.
 
 Mdhamini wa Makanisa ya EAGT, John Mfuko akitoa heshima za mwisho mbele jeneza lenye mwili wa Askofu Mkuu wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania(EAGT), Dk Moses Kulola jijini Dar es Salaam.

Viongozi hao ni pamoja na Paul Kimiti ambaye alikiri mbele ya maelfu ya waombolezaji kwamba maombi ya Askofu huyo, yalimpa mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kupata uwaziri mara mbili.

“Nakumbuka aliniombea tena ofisini kwangu wakati huo nikiwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, mbele ya bendera za taifa nilipiga magoti mbele ya mtumishi wa Mungu alikuwa anatembea na Yesu, kweli kila goti litapigwa kwa Yesu, kwa maombi yake nilifanikiwa kuwa waziri kwa vipindi viwili, ilibaki nusra niupate na uwaziri Mkuu,” alisema 

Kimiti akifuatiwa na kelele za kushangiliwa.
Kimiti amewahi kuwa Waziri wa Ajira na Maendeleo ya Vijana na Waziri wa Kilimo na Biashara, kati ya mwaka 1995 na mwaka 2000.

Kwa upande wake, Mchungaji Getruda Rwakatare ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu, alisema Askofu Kulola alikuwa ni baba yake wa kiroho na kwamba alimtambua baada ya ndoa yake kuwa na mgogoro.

“ Alinifariji sana, aliniombea nakumbuka kuna wakati nilimweleza jinsi mateso yalivyoendelea katika ndoa yangu, aliniambia kama mume wako anakupiga au kukutesa tambua hakutesi wewe bali Yesu aliye ndani yako, maneno yale yalinitia nguvu nikabadilika nikawa mtumishi wa Mungu hadi leo naye akawa ananiita nabii Debora,” alisema Mchungaji Rwakatare.

Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Advera Senso akiwasilisha rambirambi ya Sh 2,000,000, alisema kuwa jeshi hilo limepoteza kamanda wa kiroho na kimwili ambaye walikuwa wanamtumia kutokana na mahubiri yake katika kuzuia matukio ya uhalifu ikiwemo ya kikatili ya kukata viungo vya albino.

Makamu wa Askofu wa EAGT, Asumwisye Mwaisabila akitoa salamu zake kwenye ibada hiyo, aliwataka viongozi wote wa makanisa ya kiroho kumaliza tofauti zaoili kumuenzi Askofu Kulola ambaye alikuwa na upendo wa pekee.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate