Rais Kikwete akikaribishwa kutembelea Jengo la Bunge mjini Dodoma na Naibu Spika Mhe. Job Ndugai leo Oktoba 24, 2013.
Rais
Kikwete akisindikizwa na Naibu Spika Mhe. Job Ndugai na Katibu wa Bunge
Dkt Thomas Kashilila baada ya kutembelea Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma
leo Oktoba 24, 2013.
Rais
Kikwete akizungumza na Naibu Spika Mhe. Job Ndugai na Katibu wa Bunge
Dkt Thomas Kashilila baada ya kutembelea Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma
leo Oktoba 24, 2013.Bunge hilo Maalum la Katiba litakuwa na Wabunge 600 tofauti ya Bunge la sasa lenye Wabunge 354 ambao ni pamoja na Wabunge 239 wa kuchaguliwa kutoka majimboni, Wabunge Wanawake Viti Maalumu 102, Wabunge wa kuteuliwa toka Baraza la Wawakilishi Zanzibar 5, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Wabunge 7 (kati ya 10) wa kuteuliwa na Rais.
( PICHA NA IKULU )


No comments:
Post a Comment