EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Tuesday, November 19, 2013

JENISTA MHAGAMA AMPOKEA KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA PERAMIHO

1 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mh. Jenista Mhagama Mbunge wa jimbo la Peramiho mara baada ya kupokelewa katika eneo la Seminari Kuu Peramiho akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi na kukagua miradi ya maendeleo na kuimarisha uhai wa chama Songea mkoani Ruvuma.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-PERAMIHO 2 
Katibu wa NEC Itikadi Siasa na Uenezi Ndugu Nape Nnauye akisalimiana na Mh. Jenista Mhagama Mbunge wa jimbo la Peramiho mara baada ya kupokelewa katika kijiji cha Seminari kuu Peramiho , katikati ni Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa kimataifa.
4 
Wana CCM waliojitokeza katika mapokezi hayo. 5 
Mh. Jenista Mhagama Mbunge wa jimbo la Peramiho akimuongoza Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kupokelewa katika kijiji cha Seminari Kuu.  
 6
 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa mgolole na Julius John Kiongozi wa kimila mara baada ya kuwasili Peramiho Leo kwa ziara ya kikazi.kulia ni Oddo Mrisho Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Ruvuma na kulia ni Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama. 7 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea silaha za kijadi kutoka kwa Julius John Kiongozi wa kimila kama ishara ya kuogoza na kusimamia vyema chama ili kiwe imara zaidi mara baada ya kuwasili Peramiho Leo kwa ziara ya kikazi 8 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wanachama katika shina namba 28 wakati alipomtembelea balozi Said Issa mara baada ya kuwasili Peramiho Leo kwa ziara ya kikazi 9 
Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama akiwa amekaa kwenye mkeka na wana CCM wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. 10 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na balozi wa shina namba 28 Ndugu Said Issa huku wakinywa chai wakati alipomtembelea nyumbani kwake kulia anayewasikiliza ni Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Mbunge wa jimbo la Peramiho Mh Jenista Mhagama huku wainywa chai katikati ni Balozi wa shina namba 28 Bw. Said Issa, kulia ni Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu na kutoka kushoto ni Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dr. Asha Rose Migiro na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Ruvuma Bw. Oddo Mrisho. 12 
Kikundi cha ngoma kikitumbuiza kabla ya katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kuzungumza na viongozi wa mashina katika mkutano wa ndani mjini Peramiho.
13 
Nape Nnauye akipiga gitaa huku mbunge wa jimbo la Peramiho Jenista Mhagama kulia akicheza.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate