EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Monday, November 18, 2013

KINANA ALIA NA WATENDAJI WA VYAMA VYA MSINGI USHIRIKA NA BAADHI YA WATENDAJI WA SERIKALI MKOANI RUVUMA‏

1 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Vita Kawawa Mbunge wa jimbo la Namtumbo Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma mara baada ya kumpokea kwenye kata ya Mchomoro, Abdulrahman Kinana yuko katika ziara ya kikazi ya mikoa ya Ruvuma, Mbeya na Njombe ambapo ameongozana na Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi Ndugu Nape Nnauye na Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wakikagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzina kusikiliza matatizo ya wananchi ikiwa ni pamoja na kuhimiza wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo, Katika ziara hiyo ya Wilaya za Tunduru na Namtumbo wananchi wamelalamikia kuhusu bei ya zao la Korosho ikiwa ni pamoja na Tumbaku, lakini pia wakalalamikia suala zima la Mbolea, ambapo Mbunge wa jimbo la Namtumbo Vita Kawawa ametuhumu baadhi ya viongozi wa vyama vha ushirika na ofisa ushirika wa mkoa huo kuwabambikizia madeni wakulima wa tumbaku kupitia ruzuku ya mbolea ambapo makadirio ya mbolea inayohitajika kwa wakulia huongezwa kinyemela na wananchi kuachiwa mzigo wa kulipa madeni ambayo hayawahusu jambo ambalo linawatesa wakulima wa tumbaku na kuwaacha wakiwa hoi. kiuchumi (PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-NAMTUMBO) 3 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wa tatu kutoka kulia akipata kifungua kinywa nyumbani kwa mwenyekiti wa shina ndugu Hussein Rwambo wa pili kutoka kulia katika kata ya Mchomoro, kulia ni Vita Kawawa Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Kushoto aliyekaa ni Dr. Asga Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa na aliyesimama mlangoni ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi. 4 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kushoto , Vita Kawawa Mbunge wa Jimbo la Namtumbo kulia na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Oddo Mwisho wakichanganya Udongo wakati wakishiriki katika ujenzi wa Wodi ya wazazi katika hospitali ya wilaya ya Namtumbo ambayo inajengwa. 5 
Kutoka kulia ni Vita Kawawa Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa Itikadi na Uenezi, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Dr. Asha Rose Migiro wakishiriki katika ujenzi wa msingi wa wodi ya wazazi katika hospitali ya wilaya ya Namtumbo.
6 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kushiriki ujenzi wa msingi wa wodi ya wazazi katika hospitali ya wilaya ya Namtumbo. 7 
Hili ni jengo la Utawala la hospitali ya Wilaya Namtumbo. 8 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Vita Kawawa Mbunge wa jimbo la Namtumbo wakati alipokuwa akikagua majengo ya hospitali hiyo. 9Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Ndugu Said Mwambungu mara baada ya kukagua mtambo wa kuteketeza takataka na kuchemsha maji katika hospitali hiyo. 10 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata taarifa ya mtambo wa kufua umeme katika kituo cha kufua umeme cha Namtumbo. 11Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua jenereta na mtambo huo. 13 
Kikundi cha ngoma kikitumbuiza katika katika moja ya mikutano. 15 
Mmoja wa wananchi akitoa kero za wakulima wa zao la Tumbaku kwa niaba ya wananchi. 16Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipiga picha ya pamoja na watumishi wa kituo cha kufua umeme mjini Namtumbo. 17 
Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Taifa mjini Namtumbo leo. 18 
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa Itikadi na Uenezi akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa taifa mjini Namtumbo leo. 19 
Wazee wa kimlia wakimvisha mgolole Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kama ishara ya heshima kwake kutokana na utendaji kazi uliotukuka katika chama. 20 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi mjini Namtumbo kwenye uwanja wa Taifa leo. 21 
Mbunge wa Jimbo la Namtumbo Mh. Vita Kawawa akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara mjini Namtumbo, mkutano huo umefanyika kwenye uwanja wa Taifa.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ Redd’s Miss IFM REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate