Joy Kalemera kutoka New Jersey
 Faith Kashaa kutoka Alabama
 Julia Nyerere kutoka Maryland.
 Sham Manka kutoka Massachusetts.
Walimbwende
 wa Miss Tanzania USA Pageant katika picha ya pamoja baada ya kumaliza 
kujinoa kwa ajili ya kumtafuta Miss Tanzania USA Pageant itayofanyika 
Hollywood Ballroom anuani ni 2126 Industrial Pkwy, Silver Spring, MD 
20904 kati mstari wa mbele ni Miss Pageant wa kesho akifuarahia ukodak 
moment na washiriki. 
Walimbwende
 wa Miss Tanzania USA Pageant katika picha ya pamoja na waratibu 
wakiwemo mkurugenzi na mwanzilishi wa Miss Afrika USA Pageant Lady Kate 
(wa pili toka kulia mstari wa mbele), mkurugenzi na mwanzilishi wa Miss 
Tanzania USA Pageant Ma Winny Casey (wanne toka kushoto mstari wa 
mbele).
Mbunge
 viti maalum Chadema Mhe. Leticia Nyerere katika picha ya pamoja na 
Hidaya Mahita (kushoto) na Hellena Nyerere ambaye ni mwanae anayeshiriki
 kwenye kinyang'anyiro cha miss Tanzania USA Pageant.
 Mwanahabari wa VOA Sunday Shomari(kushoto) akimdodosa mawili matatu mlimbwende Sham Manka kutoka Massachusetts.
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment