EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Wednesday, December 4, 2013

ABDULRAHMAN KINANA APOKEA KERO ZA WAFANYAKAZI TAZARA MBEYA‏

1
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi huku wakiwa wameshika mabango ya kupongeza serilkali na Chama cha mapinduzi kwa kutekeleza ilani ya Uchaguzi ya Chama cha hicho wakati alipopokelewa eneo la Iwambi akitokea Wilaya ya Mbeya Vijijini ambapo leo ameanza ziara katika wilaya ya Mbeya mjini na kutembelea Shirika la TAZARA na kuongea na wafanyakazi, ambapo amepokea matatizo mbalimbali ya shirika hilo na wafanyakazi, Katika ziara hiyo kinana ameongozana na Nape Nnauye Katibu wa Siasa, Itikadi na Uenezi na Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa na Mbunge wa kuteuliwa , Kulia ni Ephraim Mwaitenda Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mbeya mjini, Ndugu Abdulrahman Kinana na msafara wake anatarajia kurudi Dar es salaam kwa kutumia treni hiyo ya TAZARA mara baada ya kumalizika kwa zara yake mwishoni mwa wiki hiii .
2
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wa tatu kutoka kulia akiwasili kwenye stendi kuu ya TAZARA mjini Mbeya wakati alipozungumza na wafanyakazi wa shirika hilo na kupokea kero mbalimbali za shirika hilo na wafanyakazi wake, Kutoka kulia ni Ephraim Mwaitenda Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mbeya mjini, Dr. Norman Sigalla Mkuu wa wilaya ya Mbeya na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya na Mbunge wa jimbo la Mbozi Mashariki.
3
Baadhi ya wakuu wa vitengo mbalimbali wa shirika la TAZARA Mbeya wakimsubiri Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
4
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Meneja wa TAZARA wa Kanda ya Mbeya Bw Jija Nyirenda mara baada ya kupokelewa katika kituo hicho, kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dr. Norman Sigalla.

6
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kulia Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dr. Norman Sigalla na Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa na Mbunge wa kuteuliwa wakiingia kwenye ukumbi wa mkutano na wafanyakazi wa TAZARA
11
Baadhi ya abiria wakivinjari katika kituo hicho kulia anayepishana nao ni Nape Nnauye
12
Meneja wa TAZARA Kandaya Mbeya akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM ili kuongea na wafanyakazi wa shirika hilo.
13
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiingia ukumbini huku akiongozana na Meneja wa TAZARA kanda ya Mbeya Bw. Jija Nyirenda.
14
Baadhi ya wafanyakazi wa TAZARA wakimsikiliza katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana
15
Mwakilishi wa wafanyakazi wa shirika hilo Shaban Malekela akisoma taarifa ya wafanyakazi hao iliyoainisha matatizo yao wanayokumbana nayo katika shirika hilo.
 17
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wafanyakazi wa TAZARA
20
Mkutano ukiendelea
21
Nape Nnauye akitoka kwenye ukumbi wa mkutano mara baada ya kumalizika kwa mkutano.
22
Abdulrahman Kinana akizungumza na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya wakati wakitoka kwenye mkutano huo kulia ni Mkuu wa wilaya ya Mbeya.
 23
23Kituo kikuu cha TAZARA Iyunga mjini Mbeya.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate