Salma Omary ‘Sister Das’.
Akiwa nchini humo, Sister Das alifanya mazungumzo na wasanii wa kundi
hilo kuhusu namna ya kuuinua muziki wa asili ikiwa ni pamoja na
kurekodi nao video mpya ya wimbo wake wa Avinza Zyele.“Ni kweli nilipata mwaliko nchini Botswana kutoka kwa Kundi la Makhirikhiri ambapo tuliongea mambo mengi ya kukuza muziki wa Kiafrika na kuweza kufanya maonesho ya pamoja, pia nilirekodi nao video ya wimbo wangu mpya,” alisema Sister Das.
No comments:
Post a Comment