A-Z SHOO YA KUTOA ZAWADI NA KUUKARIBISHA MWAKA 2014 DAR LIVE
Mashabiki wakiukaribisha mwaka wa 2014 kwa shangwe ndani ya Dar Live.
Washindi wa zawadi za vifurushi kutoka Dar Live wakiwa katika picha ya pamoja.
Mshindi
wa pili wa zawadi ya simu aina ya Nokia, Anna Mlingatwa (kushoto)
akikabidhiwa zawadi yake na Msimamizi wa Dar Live, Fadhil Ramadhan.
Meneja Mkuu wa Global Publishers Ltd, Abdallah Mrisho (kulia) akimkabidhi mshindi wa zawadi ya simu aina ya Nokia, Said Shija.
DJ Max wa Dar Live (kushoto) akimkabidhi kifurushi chenye zawadi kutoka TSN Supermarket mshindi Juma Abdul.
Mshindi Saleh Shija akipokea zawadi ya kifurushi kutoka kwa Rachel Johan (kulia).
Msimamizi
wa Dar Live, Fadhil Ramadhan (kushoto) akikabidhi zawadi kwa mshindi wa
zawadi za mwaka mpya 2014 Dar Live, Paulo Mamba.
Mfanyakazi wa Dar Live, Edwin Faida (kulia) akikabidhi zawadi kwa mshindi, Saleh Twaha.
Washindi wote wa zawadi za mwaka mpya 2014 Dar Live wakiwa katika picha ya pamoja.
DJ Hemed Kavu 'HK' akiwaongea na mashabiki kabla ya kuwakaribisha vijana wake kutoa burudani.
Msanii anayetamba kwa wimbo wa Bodaboda akiwapa raha mashabiki.
Vijana wanaoimba sambamba na mkali wa Bodaboda wakiwa wamepiga magoti mbele ya 'mwili' wa mkali huyo baada ya kupanda stejini.
'Mwili' wa mkali wa wimbo wa Bodaboda ukiwa stejini.
Vijana hao wakifanya makamuzi kabla mkali wa Bodaboda 'kufufuka'.
Mklai wa Bodaboda (katikati) akicheza sambamba na wenzake baada ya 'kufufuka'.Snura Mushi na kundi lake wakifanya makamuzi katika usiku wa mwaka mpya 2014 ndani ya Dar Live.
Snura akisema na mashabiki wake.
Wanenguaji wa Snura wakiwa kazini.
Snura na kundi lake wakizidi kupagawisha mashabiki wa Dar Live.
Snura na kundi lake kabla ya kupanda stejini.
Kundi la TMK Wanaume Family likiwapagawisha mashabiki wa Dar Live kwa burudani.
Mwanamuzikwa wa kundi la TMK Wanaume Family, Amani Temba 'Mhe. Temba' akiwadatisha mashabiki.
Mwanamuziki YP naye akiwapa burudani mashabiki wa Dar Live
Nyomi ikifurahia burudani iliyokuwa ikitolewa na TMK Wanaume Family.
No comments:
Post a Comment