Nimeomba mahakama kuzuia kamati kuu ya chama changu kunijadili mpaka
rufaa yangu isikilizwe na Baraza Kuu la chama. Sijaomba kuzuia kamati
kuu kuendelea na kikao chake.
Nimeomba kamati isinijadili maana nina rufaa kwenda Baraza Kuu kwa
jambo hilo hilo ambalo kamati kuu inataka kuliamulia. Wakili wa chama
Tundu lissu aliweka mapingamizi akisema mahakama haina mamlaka kujadili
masuala ya vyama na wanachama wao.
Jaji John Utumwa katupilia mbali mapingamizi yote yaliyowekwa na Tundu Lissu.
Mahakama ndio Chombo cha kutoa haki. Asante Wakili Albert Msando.
Mahakama ndio Chombo cha kutoa haki. Asante Wakili Albert Msando.
Haki itatendeka tu.
No comments:
Post a Comment