KLABU ya Tottenham imemthibitisha Mauricio Pochettino kuwa kocha wake mpya Mkuu.
Muargentina
 hyo alijiuzulu nafasi ya ukocha katika klabu ya Southampton, ambako 
aliwavutia wengi kwa kazi yake nzuri ikiwa ni pamoja na kuinua vipaji 
vya chipukizi wengi wa England.
Pochettino
 amepewa Mkataba wa miaka mitano White Hart Lane na Mwenyekiti wa Spurs,
 Daniel Levy, kurithi mikoba ya Tim Sherwood aliyefukuzwa.
 
 
 
 
 
 
 

 
No comments:
Post a Comment