EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Wednesday, June 11, 2014

LUIS SUAREZ HUYU HAPA FITI KABISA KWA KOMBE LA DUNIA

MSHAMBULIAJI Luis Suarez anaonekana kuwa fiti kwa ajili ya kuichezea Uruguay dhidi ya England mjini Sao Paulo Juni 19 baada ya kusema mguu wake ni 'mzuri'.
Mshambuliaji huyo wa Liverpool alihitaji upasuaji wa goti lake, na kuwapa hofu wanananchi wa Uruguay kama tegemeo lao hilo litamudu kucheza Kombe la Dunia.
Lakini katika ujumbe wa video aliourekodi, Suarez amesema yuko njiani kupona.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 alionekana yuko vizuri wakati akifanya mazoezi na Uruguay nje ya kambi ya timu yao mjini Belo Horizonte jana.
Yuko fiti na tayari: Suarez alifanya mazoezi na timu yake ya Uruguay jana Uwanja wa Jacare
How is it feeling? Team physical therapist Walter Ferreira with the Liverpool striker
Daktari wa misuli wa timu, Walter Ferreira akimfuatilia Suarez
Suarez looks at his leg during a training session
Uruguay's Luis Suarez runs during a training session at Jacare Stadium in Sete Lagoas
Anakimbizana na muda: Suarez anatumai kuwa fiti kuichezea Uruguay mchezo wa fungi dhidi ya Costa Rica Juni 14

"Mguu unaendelea vizuri,"amesema Suarez. "najisikia vizuri sana. Nahitaji siku hadi siku, lakini kila kitu kinakwenda vizuri,".
"Nataka kuwashukuru wote kwa sapoti yenu mnayonipa katika wiki hii na sasa fikra zangu zipo kwenye Kombe la Dunia.'
Uruguay wataanza kampeni yao dhidi ya Costa Rica Jumamosi, saa kadhaa kabla ya mechi nyingine ya Kundi D baina ya England na Italia mjini Manaus.
Working up a sweat: Suarez trained on his own away from the rest of the squad
Relaxed: The Uruguay team, who reached the semi-finals four years ago, trained on Tuesday
Uruguay mazoezini jana

Suarez alifanya mazoezi tofauti na wachezaji wenzake, akipiga mashuti mepesi na kujaribu kutoa pasi laini kwa mguu wake wa kushoto- huku watu watatu wa daktari la tiba la timu hiyo wakimfuatilia. Wakati wachezaji wenzake wakicheza meci mazoezi, Suarez alikuwa pembeni ya Uwanja.
Suarez anaweza kupumzishwa katika mechi ya kwanza, ili arejee kutoa mchango wake katika mechi ngumu dhidi ya England na Italia. Timu hiyo ya Amerika Kusini iliyofika Nusu Fainali miaka minne iliyopita, iliwasili Belo Horizonte juzi.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ Redd’s Miss IFM REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate