
Mwananchi
mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja ameuawa kwa kupigwa
risasi na majambazi eneo na Clock Tower jijini Arusha. Majambazi hao
walikuwa wakipora kwenye Bureau Change iitwayo Nothern ambapo marehemu
alikuwa akipita jirani na eneo hilo na alipowaona alipiga kelele ndipo
akafyatuliwa risasi kadhaa na kupoteza maisha.
No comments:
Post a Comment