
MKURUGENZI
Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade),
Jacquiline Maleko, akizungumza na waandishi wa haabari kuhusiana na
kuingia Ubia na kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom, Kama mdhamini Mkuu
wa Mawasiliano wakati wa maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa Dar es
Salaam yatakayo anza 28 juni na kumalizika julai 8 mwaka huu. Kulia ni
Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Masoko wa Vodacom Tanzania, Kelvin
Twissa.

MKURUGENZI
Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade),
Jacquiline Maleko na Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Masoko wa Vodacom
Tanzania, Kelvin Twissa, wakioneshwa na Mwanasheria wa TanTrade, Godwin
Mutahangarwa,(Kushoto) Mkataba wa Udhamini wa maonesho ya 38 ya Biashara
ya Kimataifa Dar es Salaam yatakayo anza 28 juni na kumalizika julai 8
mwaka huu.

MKURUGENZI
Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade),
Jacquiline Maleko, akipitia Mkataba wa Udhamini wa maonesho ya 38 ya
Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yatakayoanza 28 juni na kumalizika
julai 8 mwaka huu. Wanaoshuhudia ni Mkuu wa Idara ya Masoko na
Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa (Kulia) na Mwanasheria wa
TanTrade, Godwin Mutahangarwa (Katikati)

MKURUGENZI
Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade),
Jacquiline Maleko, na Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom
Tanzania, Kelvin Twissa, wakibadilishana mkataba wa Udhamini wa maonesho
ya 38 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yatakayoanza 28 juni na
kumalizika julai 8 mwaka huu. Kushoto ni Mwanasheria wa TanTrade, Godwin
Mutahangarwa.
No comments:
Post a Comment