EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Thursday, June 12, 2014

NAY WA MITEGO AMWAGIWA NDOO YA MAJI KWENYE BETHIDEI

DUNIANI kuna vituko! Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya kumwagiwa ndoo nzima ya maji kwenye sherehe yake ya kuzaliwa (bethidei).
Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’ akiwa na mpenzi wake Siwema.
Tukio hilo la ajabu lililoshuhudiwa na mwanahabari wetu lilijiri usiku wa kuamkia Juni 10, mwaka huu maeneo ya Kimara-Baruti, Dar ambako staa huyo anaishi huku wahudhuriaji wakipombeka hadi kuzimika.
Katika shughuli hiyo, kwa mara ya kwanza tangu walipodaiwa kumwagana na kurudiana, Nay alinaswa na yule Siwema wake.
Akizungumzia sherehe hiyo, Nay alisema hakuwa amepanga kuifanya lakini aliona ni kitu kizuri kukusanyika na baadhi ya ndugu, jamaa na rafiki zake wa karibu kwa ajili ya kusherehekea bethidei yake.
Alisema alishangazwa na kitendo cha ghafla kilichofanywa na baadhi ya ndugu cha kumwagia ndoo ya maji.
Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ akimwagiwa ndoo ya maji kwenye bethidei yake.


“Sikuwa na hili wala lile, ghafla tu wakati wameniita katika hadhara ili niweze kuwasalimia wageni na ndugu hao wa karibu, wakanizunguka na kuanza kunimiminia ndoo za maji,” alisema Nay wa  Mitego.
Hata hivyo, pamoja na ndugu hao na marafiki kummwagia maji mengi tofauti na bethidei nyingine zinazofanyika, Nay hakukasirika na badala yake aliwashukuru kwa uwepo wao katika sherehe hiyo aliyokuwa akitimiza miaka 29.
Keki za bethidei.
“Nimefarijika sana kwa ndugu zangu kuja kujumuika na mimi kwenye sherehe hii ya kuzaliwa kwangu ingawa wamenishtusha. “Pia baada ya kuwaona wakinimwangia ndoo za maji jambo ambalo sikulitarajia kabisa kwani nimelowesha vitu vyangu, ila kwa kuwa ni siku yangu ya kuzaliwa, sijutii, nafurahia sherehe hii.
“Namshukuru sana mpenzi wangu Siwema kwa kujumuika na marafiki zangu kusherehekea tukio hili ambalo ni la kipekee kwangu, kikubwa zaidi namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia uzima na afya tele tangu kuzaliwa hadi leo,” alisema Nay wa Mitego.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Jitaman (kulia), akilishwa keki na rafiki yake Nay wa Mitego
Utamaduni wa kumwagiana vinywaji au maji kwenye sherehe za bethidei umekua kwa kasi Bongo ambapo umekopiwa kutoka nchi za nje kama ilivyo suala la mavazi.
CHANZO GPL

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ Redd’s Miss IFM REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate